Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana.
Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama namfahamu, nikajipitisha pale la haula kumbe ni ex wangu ambae mimi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza na hatujaonana kama miaka mitatu hivi.
Alishtuka sana aliponiona na mimi sikutegemea kumkuta mazingira yale na mitego aliokaa. Nikamuuliza maswali mawili matatu anajikanyaga nikaamua nipotezee tukachat mawili matatu nikachukua namba yake nikaondoka eneo lile nikamwacha.
Kesho yake nikamtafuta nikaemdelea kumhoji nini kinaendelea kwenye maisha yake mpaka amefikia hatua hio. Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa whatsapp. Hapa nilipotangu juzi namtafuta hapokei simu.
Hujawajua wanaume my dear, huwa wanapenda wanawake ambao akimhitaji mda wowote anampata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe kunijua kote kuliko ninavyojijua kiasi cha kujenga chuki bado umeshindwa kujua kuwa naamini au siamini katika Biblia?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Lait kama ningekua huyo dada, walai ningekutukana kupita maelezo
Ulipaswa utambue state aliyopo mtu ambae keshafikia hatua hiyo ni mtu aliekwisha kata tamaa sio ya maisha tu bali ya kuishi, she fear nothing, she is trading her life, she has nothing to lose, yaani hata Mungu hamwogopi tena, she is ready kwa lolote litakalo mtokea mbele ya uso wake, na keshaafiki hata kabla halijamtokea, huku paswa mhoji chochote mkuu
Yaani n sawa na ukute mtu anabwia uga alafu umuulize ni kwann anafanya hvyo, hata kama n mwanao atakutusi
huyo alisha athirika kisaikolojia, ulipaswa uende nae taratibu, either kwa kumfanya awe rafiki, utenge mda wa kutosha nae, umsaidie mahitaj yake ya hapa na pala bila yeye kukuomba, uweke mbinu na mikakati ya kumwibia muda hasa wakati wa jion ule anaoenda jiuza, uwe unautumia nae siku moja moja either kuchoma nae nyama, kwenda nae sehem yeyote ile, huyu huwez mbadili kwa kumwambia acha,, kwanza tibu tatizo linalo mfanya ajiuze (Pesa) alafu taratibu unaaza toka nae, mpeleka maeneo mazuri, muongee mambo mazuri mazuri tu sio maswala ya umalaya au mahusiano yenu, na endapo mada ikaja hakikisha wewe sio mwanzilishi, na pia hata kama akianza yeye hakikisha yuko tayari kwa hiyo mada, tofaut na hapo n bora uingize hata issue za biashara ama kitu ambacho wajua ana interest nacho hata kama ni umbea,
N sawa na mbwa koko, usipokua na mikakati thabiti huyu mbwa huwez mbadilishi kias cha kuish nae chumban kwako as pet animal,
Sent using Jamii Forums mobile app
You don't need to justify anything mkuu, kumbi za starehe kila mtu yupo, kila mtu ana sababu zake za kuwepo hapo. Ulienda kwa ajili ya live band na wengine wanaenda kwa mambo yao mengine.Ngoja nikujibu kwa niaba ya mapopoma wenzio. Sehrmu nyingi za starehe hasa zenye hadhi hawa wanaojiuza wapo, na haina maana kuwa wanaoenda hapi wote wanajiuza au wateja.
Jaribu kutembelea sehemu kama samaki samaki,high spirit,ctfm,slipway,elements,trinity,qbar etc kote huko wapo inawezekana ukaenda usijue kuwa wapo kwassbabu siku hizi ni ngumu kutofautisha anaejiuza ana asiejiuza, ukimtokea ndio utajua yupi ni yupi.
Aiseeee sasa walioolewa wanatia hurumaHujawajua wanaume my dear, huwa wanapenda wanawake ambao akimhitaji mda wowote anampata
Sent using Jamii Forums mobile app
Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana.
Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama namfahamu, nikajipitisha pale la haula kumbe ni ex wangu ambae mimi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza na hatujaonana kama miaka mitatu hivi.
Alishtuka sana aliponiona na mimi sikutegemea kumkuta mazingira yale na mitego aliokaa. Nikamuuliza maswali mawili matatu anajikanyaga nikaamua nipotezee tukachat mawili matatu nikachukua namba yake nikaondoka eneo lile nikamwacha.
Kesho yake nikamtafuta nikaemdelea kumhoji nini kinaendelea kwenye maisha yake mpaka amefikia hatua hio. Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa whatsapp. Hapa nilipotangu juzi namtafuta hapokei simu.
Nawe ulikwenda kununua.... Tofauti kati yako na yake ni ipi labda?
You don't need to justify anything mkuu, kumbi za starehe kila mtu yupo, kila mtu ana sababu zake za kuwepo hapo. Ulienda kwa ajili ya live band na wengine wanaenda kwa mambo yao mengine.
Hajatambua kuwa huo mstari ndipo alipojichanganya, ndio maana watu wanamwambia hivyo.Nawe ulikwenda kununua.... Tofauti kati yako na yake ni ipi labda?
Nawe ulikwenda kununua.... Tofauti kati yako na yake ni ipi labda?
Sehemu za starehe kunaingia watu wa aina zote. Kwahio wewe ukiwepo hapo nikivutiwa nikakutokea maanake unauza na mimi nanunua? Btw mtu anaenunua hawezi kukaa kujipanga eti nimtuokeeje yule wakati inajulikana nikukubaliana bei tu....Hajatambua kuwa huo mstari ndipo alipojichanganya, ndio maana watu wanamwambia hivyo.
I've realized common sense is not very common.You don't need to justify anything mkuu, kumbi za starehe kila mtu yupo, kila mtu ana sababu zake za kuwepo hapo. Ulienda kwa ajili ya live band na wengine wanaenda kwa mambo yao mengine.
Wait, kujua kuwa anajiuza ni baada ya kumfuata na kuongea nae au baada ya kumpigia simu?Sehemu za starehe kunaingia watu wa aina zote. Kwahio wewe ukiwepo hapo nikivutiwa nikakutokea maanake unauza na mimi nanunua? Btw mtu anaenunua hawezi kukaa kujipanga eti nimtuokeeje yule wakati inajulikana nikukubaliana bei tu....
'niliona msichana akanivutia nikapanga mikakati nimuingieje' hii statement kwenu inaonesha mtu anapanga kununua?!!
Wewe habari za wanaojiuza tuache sisi. Let me tell u this, wanawake wa siku hizi kwenye kumbi za starehe huwezi kujua nani ni nani mpaka muongee ndio utajua,vingine ni hisia tu. Huyu ni mtu ninaemfahamu ninaemjua inside out nikiongea nae few minutes i know if she is up to no good!Wait, kujua kuwa anajiuza ni baada ya kumfuata na kuongea nae au baada ya kumpigia simu?