Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

Hivi huwa huoni humu several times tu wanaume walowahi kununua au wanaonunua wakijisifia kabisa kununua au wakisema kabisa!!!

Badala ya kuwaona wanaokuambia hivyo ni wajinga au hawatumii common sense ungeelewa kwanza ni nini kinawafanya waseme hivyo.
 
Kwahiyo uligundua baada ya kuziungumza nae? Basi ungerekebisha pale ktk maelezo yako ukaweka hivyo maana kwa namna ulivyoandika its like ulipomuona ulijua kabisa anajiuza hivyo ukaanza mikakati ya namna ya kumnunua. Sijui umenielewa!!!
 
...got nothing to do with me.
 
Kwahiyo uligundua baada ya kuziungumza nae? Basi ungerekebisha pale ktk maelezo yako ukaweka hivyo maana kwa namna ulivyoandika its like ulipomuona ulijua kabisa anajiuza hivyo ukaanza mikakati ya namna ya kumnunua. Sijui umenielewa!!!
Hapana.
 
Kwani na wewe si ulikua mawindoni, wote mlikua eneo moja la tukio mnawinda. Pambaneni na hali zenu, msituchoshe
 
Wewe mwenyewe mbona ulienda kununua pale

Sent from iphone 7 plus
 
Kwani na wewe si ulikua mawindoni, wote mlikua eneo moja la tukio mnawinda. Pambaneni na hali zenu, msituchoshe
Nimejikuta nacheka kwa sauti..... !!!!
 
Brother ushauri wangu kwako ni wewe kuendelea na MAISHA YAKO.
I might sound rude but its the truth, huyo ni Ex wako na ipo sababu kwanini ni Ex wako you owe her nothing.
Maamuzi aliyoamua kuyachukua juu ya maisha yake regardless namna wewe na yeye mliviochana sio sababu tosha ya kumfanya yeye kua huyo mtu aliamua kua sasa.
Tatizo letu sisi binadamu hua tunatafuta mtu wa kumlaumu juu ya vitu vinavyotokea maishani mwetu hasa mambo yanapoenda kombo lakini ukweli ni kwamba "we are responsible for our own actions". Wewe kua sababu ya yeye kua alivyo ni kwa sababu aliruhusu wewe kua sababu ya yeye kua alivyo sasa na mengine ambayo mimi na wewe hatuyafahamu but ntakuuliza yafwatayo, JE?

-Ni watu wangapi wamekumbwa na vitendo vya udhalilishaji (ubakaji, usengenyaji n.k) lakini bado wakaweza kusimama imara na kujenga maisha yao katika njia stahiki?

-Watoto wangapi wametelekezwa na wazazi wao wakiwa na akili zao za utambuzi wakiachwa kua yatima lakini wakakua na kua na maisha yenye mafanikio?

-Wasichana wangapi walipoteza usichana wao kwa watu ambao waliwapenda na kufikiri hao ndo wangekua wenza wao kwa maisha yao yote lakini bado mambo yakaenda sivyo na bado wakainuka na kuendelea na maisha yao na yakawa mazuri?

Brother hapo wewe huyu dada hakudai wala humdai chochote, pengine its the feeling of GUILT uliyokua nayo ndani yako kua yupo vile ukiwa wewe ndo sababu mmoja wapo ( ambacho amekisema yeye na sio wewe) ya yeye kua pale alipo sasa lakini ukweli ni HAPANA.
Mimi binafsi ngekua katika position yako ngeendelea na maisha yangu tu kiroho safi kumbuka alishafanya maamuzi hayo kitambo sana bila uhusika wako kwake, fanya maisha mkuu. Unless kama una huruma kiasi hicho cha kutaka kumsaidia kitu ambacho si kibaya ila tarajia chochote kutoka kwake, narudia tena tarajia chochote kutoka kwake.
 
Mkuu ulikosea, kwanini hukumuungisha kwenye biashara yake?
Afterall, na wewe ulifika pale kutafuta mzigo, kuna ubaya gani kufanya biashara na unayemfahamu?
 
Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa whatsapp. Hapa nilipotangu juzi namtafuta hapokei simu.

Mkui pole sana.
Huyo mrembo alikua anakupenda, anakupenda na ataendelea kukupenda na alikua anakuamini sana.

Sasa fanya hivi, tafuta mtu awapatanishe, aongee na mrembo hadi akae sawa alafu mkutanishwe muweke sawa. Hope itakua sawa kila kitu.
 
Pole kwa yaliyokukuta tafuta simu nyingine mtafute au mpe mtu aongee nae ajifanye anataka kumnunua wakutane sehemu uende umface ukaongee nae kuwa umeumizwa na anayofanya kama unaweza msaidia mtaji msaidie au kama unamsamehe umuwowe pia sawa
 
Nipe namba yake mkuu nijaribu bahati kama ntafika bei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapokei simu, hajibu sms,whatsapp blocked
Jaribu kumtafuta chimbo lake,ila mkuu ulikosea kumuuliza kwenye simu na ilikuwa mapema,cha kufanya wewe ungejifanya haujui kinachoendelea baada ya kupeana contact umtafute na umualike sehemu tulivu,ikiwezekana mpige kaz ndiyo uanze kumdadisi kwa utulivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwa yaliyokukuta tafuta simu nyingine mtafute au mpe mtu aongee nae ajifanye anataka kumnunua wakutane sehemu uende umface ukaongee nae kuwa umeumizwa na anayofanya kama unaweza msaidia mtaji msaidie au kama unamsamehe umuwowe pia sawa
Nimuwowe au nimuoe?
 
Mkuu,itakuwa huyo demu ni chombo cha ukwel kias cha kushindwa kumsahau,na kubaki unajutia maishani mwako kumkosa na unahitaji kuwa naye tena,ila kiukwel katika maisha ya mapenz kuna demu unaweza kuwa ulikuwa naye na mkaachana na usimsahau daima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…