Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

Mkuu Rrondo kama haikuwa mnunuzi hivyo viwanda ulikwenda kufanya nini?

Ungemkuta ex wako amefungua pub angeweza kukupa round ya urafiki. Next time katika situation kama hiyo ukiona moyo wako ni mwepesi wewe sepa kisilence.
 
Nope I did not say that at all. When ex is selling her beautiful body for whatever reason I'll try my level best to find the reason behind, but if she is uncooperative and use foul language against me there is no need to waste my precious time.

Ooh kumbe ex's are reajects isn't it?
 
Nope I did not say that at all. When ex is selling her beautiful body for whatever reason I'll try my level best to find the reason behind, but if she is uncooperative and use foul language against me there is no need to waste my precious time.
I can understand the situation it seems Rrondo was in a big shock meanwhile the whole scenario needed more psychological intervention and one of the tools is not to show ur emotions
 
Ungejaribu kumuungisha, huenda ulimtia nuksi siku hiyo biashara ikamwendea vibaya!

Wacha kumtafuta kwa simu pita siku ingine viwanja ivo utampata but wote ndio hivyo ni makahaba wewe na yeye
Mkuu mbona tunatukanana tena.
 
She is your EX for a very good reason Mkuu. Leave her alone and don't waste your precious time unless unataka kuyaoga matusi ya nguoni mengine.
Duh nitajaribu kuufanyia kazi ushauri wako.
 
Reactions: BAK
Mkuu Rrondo kama haikuwa mnunuzi hivyo viwanda ulikwenda kufanya nini?

Ungemkuta ex wako amefungua pub angeweza kukupa round ya urafiki. Next time katika situation kama hiyo ukiona moyo wako ni mwepesi wewe sepa kisilence.
Viwanja vya siku hizi kila mtu anaenda. Mimi huwa napenda kwenda kwasababu kuna live band.
 
Mshauri kama hapati wateja wengi sehemu hiyo aende kwengine.Halafu hata wewe inaonekana ni mnunuaji mzuri wa hayo madude mfano huko nini kilikupeleka?
 
kuna dada mmoja m nlikua wa kwanza, cku moja katka pilikapilika za maisha nkakutana nae akiwa na ***** mzaz, na kazalishwa watoto mapacha. hal nliyomkuta nayo ndug zangu ilnipa tabu sana, nguo alzovaa ndali vitenge vyakubebea watoto, mamaake nae viko hoi. Kwakua ckuia vzur nliomb tu namba na cm pia hakua nayo ikabid nchukue namb ya mamaake. Huwa namtumia chochote nkiwa vzur tatzo anataka nbebe jukum lote kwakua jamaa kakataa, kitu ambacho cwez na nna mwanamke mwngne tayar. Mungu amsaidie my ex wangu jaman wanae wakue vzur
 
...kwa huu uandishi mbona nawe waonekana bado mtoto tu!
..kwanini usianze kwanza kumuomba huyo Mungu akusaidie wewe 'ukue' vizuri!
 
Mshauri kama hapati wateja wengi sehemu hiyo aende kwengine.Halafu hata wewe inaonekana ni mnunuaji mzuri wa hayo madude mfano huko nini kilikupeleka?
Inaonesha wewe huwa hutoki usiku. Sehemu zote za starehe wanaojiuza wapo. Mimi nilienda kuangalia live band.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…