Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Mambo ya digestion hayoHivi hiyo asali inauaje ng'ombe ilhali sio sumu?
Na je ng'ombe akishakufa nyama yake inaweza liwa?
Kuua mtu na kuua mnyama unadhani upi msala mkubwadeal na mchunga ng'ombe ye ndo umpe sumu maana hao wanyama hawana akili yoyote wao wanaongozwa tu.
ng'ombe hawana kosa lolote usiwadhuru
Kwani hao wamasai watakuwa hawana sabuni?Paka asali nisha wafanyia hiyo trick washenzi awa tukashea hasara asali changanya na maji kaspray shambani
Wamasai viburi sana!Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau.
Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani kwangu jambo ambalo nimewaza nimeona njia rahisi ni kpuliza sumu ndani ya shamba yeyote ataejichanganya iwe fundisho kwa wengine.
Hawa ukisema uhangaike nao mahakamani wanauza ng'ombe kesi imeisha,ukisema uzozane nao wanaweza kukata na sime,nimeona njia nyepesi ni hii.
Nisaidieni jina la sumu yanyekuuwa taratibu tafadhari.Sumu inayopanda taratibu ng'ombe wakafie makwao.
Pia Ipatikane na dawa ya wamaasai wenyewe!Maasai ni wapumbavu sana, kilosa wanachungia mifugo kwenye mashamba ya watu. Mkulima akizuia anapigwa sime au mshale.
Dawa yao ni asali tu, wakulima waambizane kupulizia pembezoni mwa mashamba yao, itatoa fundisho la milele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama naona hyo shieee unavotamka na mapengo ya jino iliyong'olewa shaaa
Uyu nae ni boya tuKuwa kama huyo mwamba tu aliyemfumania mkewe ,akampiga shaba na kwenda ukweni na KUANZA kuwapiga shaba ng'ombe aliotoa MAHARI,
Hakuna kuchekacheka na nyani,utavua mabua,
Kila la kheri Mkuu.
Kwa nini msiwe mnaweka akiba ya mashudu ili kipindi cha njaa mlishe mashudu na pumba.
Mbona pumba na mashudu msimu wa mavuno bei chini sana junia la pumba 20000 na shudu 30000.
Kwa nini msianze kulima mazao kwa ajili ya mifugo yenu ? Nyenzo mnazo mbolea mnazi lini mtabadrika.
Mjue dunia ya sasa huwezi fanya ubabe siku zote.
Zipo kemikali ukixipiga kwenye majani zinakuwa rangi ya majani mfano round up.
Suruhisho ni nyie wamasai mliosoma na wenye uelewa muunde mashirika mkaelimishe wamasai.
Muishinikize serikali iwajengee mabwawa ya maji huko maporini.
Vile vile mpande miti ya muda mfupi inayoliwa na ng'ombe, mpande nyasi.
Dada zenu na nyie wanaume wa kimasai muanze kuosna na makabila mengine ksma wenzenu wasjkuma, wasikma wameosna na makabila mengine na wmeambujizwa ustarabu wa kisasa ikiwepo dini.
Mwisho kabisa muwaelimishe masai walau wajue kusoma na kuandika ili waanze kusoma biblia na qurani .
Wasukuma siku hizi wanawashinda wamasai, maana naona hata walimu wasukuma wameanza kuwa wengi mashuleni hio ni dalili nzuri.
Round ni sumu mbaya hawatachukua round.Mkuu Round up nayo inaua ng'ombe! KEsho nikapulizie majani maan imekuwa kero.