Kwa nini msiwe mnaweka akiba ya mashudu ili kipindi cha njaa mlishe mashudu na pumba.
Mbona pumba na mashudu msimu wa mavuno bei chini sana junia la pumba 20000 na shudu 30000.
Kwa nini msianze kulima mazao kwa ajili ya mifugo yenu ? Nyenzo mnazo mbolea mnazi lini mtabadrika.
Mjue dunia ya sasa huwezi fanya ubabe siku zote.
Zipo kemikali ukixipiga kwenye majani zinakuwa rangi ya majani mfano round up.
Suruhisho ni nyie wamasai mliosoma na wenye uelewa muunde mashirika mkaelimishe wamasai.
Muishinikize serikali iwajengee mabwawa ya maji huko maporini.
Vile vile mpande miti ya muda mfupi inayoliwa na ng'ombe, mpande nyasi.
Dada zenu na nyie wanaume wa kimasai muanze kuosna na makabila mengine ksma wenzenu wasjkuma, wasikma wameosna na makabila mengine na wmeambujizwa ustarabu wa kisasa ikiwepo dini.
Mwisho kabisa muwaelimishe masai walau wajue kusoma na kuandika ili waanze kusoma biblia na qurani .
Wasukuma siku hizi wanawashinda wamasai, maana naona hata walimu wasukuma wameanza kuwa wengi mashuleni hio ni dalili nzuri.