Siyo tamaa ndiyo maana umemshangaa yule mwanaume aliyekuwa naye na umesema mchafu mchafu aeleweki mwanamke mwenye tamaa hawezi kutembea na mwanaume kama huyoMkuu upendo Gani Kwa mke wa mtu zaidi ya tamaa
ukikutana na mtu uwanja wa vita story inaishia huko huko field battle, the rest mnabaki kuwa marafiki kwenye legendary sectorHuyu jirani yangu tunaheshimiana sana yaani katika watu safi hapa kitaa ni huyu jirani yangu, maisha safi Hana njaa na ni mtu tunapeana advice ya hapa na pale yaani Kwa kifupi jamaa ni mtu mmoja cool sana.
Jana nimekutana na jamaa tumeongea mengi sana na alinambia anataka kujenga shopping mall Kuna kiwanja ana mpango wa kununua kwakua ni katikati ya mji inamlazimu alipe fidia ya milion sio chini ya 200 ili avunje nyumba zilizopo ndo apate kiwanja na alipanga kiwanja aandike jina la mke wake mama G kwani anampenda sana.
Ilikua ni katika kusogeza mda tu mimi kulikua na mtoto wa chuo nasubiri appointment yake nikamnyandue.
Tumeachana na jamaa ya mida ya saa mbili usiku wakati huo NAMI pisi ilikua ishafika tukapata shot mbili tatu Kisha safari ikawa ni kwenye uwanja wa mapambano (lodge)
Ile nafika tu nikaoneshwa chumba nikaona kipo safi kinaendana na thamani ya pesa ninayolipa Kisha nikamuacha mchumba ndani na kurudi mapokezi kulipia room
Nafika mapokezi nakutana USO Kwa USO na mke wa jirani yangu Yani huyo mama G mwenyewe Sasa yupo na kijamaa kimoja Cha hovyo wakiwa wanalipia chumba pale kwaajili ya kunyanduana😱😱
Alafu bila aibu akanisalimia huku akitabasamu na kunipa mkono😬😬😬🚮
I nearly rejected her greetings lakini nikaona poa tu kwani Nini?
Nikamsalimu pia
That was so shocking to me😱😱
I had to change the venue room yenye sikulipia nikatoka nje na kumcheki mchumba oya tuondoke apo sio poa vibaka ni wengi sana.
🤔🤔Nipo kuwaza hapa yaani ata show yenye nilipiga kinyonge Sana🙂
Hata awe na utulivu upi, one day ....one day ataanza! Take time kuchunguza utakuja kutoa ushuhuda. Hata huyo unayemjua inawezekana unaona mkewe mtulivu kumbe watu kimya kimya washaanza shughuli kitambo. Mke halali wa mtu mwenye agano ni hatari, inaweza isiwe leo, kesho ila ipo siku.Sio kweli mkuu, kuna watu wanakula mademu wakiwamo hao wake za watu balaa ila unakuta wake zao watulivu kinoma hadi unamuonea huruma katokana wapi na huyo mkosi!
Vice versa is also true.
AiseHata awe na utulivu upi, one day ....one day ataanza! Take time kuchunguza utakuja kutoa ushuhuda. Hata huyo unayemjua inawezekana unaona mkewe mtulivu kumbe watu kimya kimya washaanza shughuli kitambo. Mke halali wa mtu mwenye agano ni hatari, inaweza isiwe leo, kesho ila ipo siku.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ukifanya wewe ni SAWA, akifanya jirani ni DHAMBI! DuhThat was so shocking to me😱😱
I had to change the venue room yenye sikulipia nikatoka nje na kumcheki mchumba oya tuondoke apo sio poa vibaka ni wengi
We tulia watu tupigane miti.!Kwenye maisha yako mtoto wa kiume usiguse mke wa mtu. Ni laana lazima na mkeo ataliwa! Kama umekubuhu itakuwa hivyo hivyo kwa mkeo.
Kucheat inaweza kutokea lakini ukitafuna mke wa mtu usijekuchanganyikiwa pia ukikukuta mkeo akiliwa! Kama unajiheshimu na unakula mke wa mtu kimya kimya na wako ataliwa kimya kimya hivyo hivyo. Kama unabisha fatilia wala wake za watu nini hutokea.
Mimi toka enzi hizo niliapa sigusi mke wa mtu! Hata nikutane na tamaa ipi, wanawake wamejaa wa kila aina hakuna sababu ya kuhangaika na mke wa mtu. Kama unahisi roho itakuchomoka ukijua unagongewa basi kaa mbali na wake za watu roho isijekukuchomoka kweli au kupata stress na kuona life haina maana [emoji1787]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Tanzania tea parkiparkingHuyu jirani yangu tunaheshimiana sana yaani katika watu safi hapa kitaa ni huyu jirani yangu, maisha safi Hana njaa na ni mtu tunapeana advice ya hapa na pale yaani Kwa kifupi jamaa ni mtu mmoja cool sana.
Jana nimekutana na jamaa tumeongea mengi sana na alinambia anataka kujenga shopping mall Kuna kiwanja ana mpango wa kununua kwakua ni katikati ya mji inamlazimu alipe fidia ya milion sio chini ya 200 ili avunje nyumba zilizopo ndo apate kiwanja na alipanga kiwanja aandike jina la mke wake mama G kwani anampenda sana.
Ilikua ni katika kusogeza mda tu mimi kulikua na mtoto wa chuo nasubiri appointment yake nikamnyandue.
Tumeachana na jamaa ya mida ya saa mbili usiku wakati huo NAMI pisi ilikua ishafika tukapata shot mbili tatu Kisha safari ikawa ni kwenye uwanja wa mapambano (lodge)
Ile nafika tu nikaoneshwa chumba nikaona kipo safi kinaendana na thamani ya pesa ninayolipa Kisha nikamuacha mchumba ndani na kurudi mapokezi kulipia room
Nafika mapokezi nakutana USO Kwa USO na mke wa jirani yangu Yani huyo mama G mwenyewe Sasa yupo na kijamaa kimoja Cha hovyo wakiwa wanalipia chumba pale kwaajili ya kunyanduana😱😱
Alafu bila aibu akanisalimia huku akitabasamu na kunipa mkono😬😬😬🚮
I nearly rejected her greetings lakini nikaona poa tu kwani Nini?
Nikamsalimu pia
That was so shocking to me😱😱
I had to change the venue room yenye sikulipia nikatoka nje na kumcheki mchumba oya tuondoke apo sio poa vibaka ni wengi sana.
🤔🤔Nipo kuwaza hapa yaani ata show yenye nilipiga kinyonge Sana🙂
Inabidi nimwambie alete 1m unless nimtonye jamaa
Facts kak malipo ni hapa hapa dunian nimeruka mitego mingi ya wake za watu ningekua natamaa ningekula wengi sana alaf wengine maisha safi kabisa yan dah mpaka huwa naumia yan nawaonea huruma waume zao kuna mmoja akawa analalamika et mme wake hamrizish sijui ni mlevi sana ila kila kitu anampatia dah sio poaKwenye maisha yako mtoto wa kiume usiguse mke wa mtu. Ni laana lazima na mkeo ataliwa! Kama umekubuhu itakuwa hivyo hivyo kwa mkeo.
Kucheat inaweza kutokea lakini ukitafuna mke wa mtu usijekuchanganyikiwa pia ukikukuta mkeo akiliwa! Kama unajiheshimu na unakula mke wa mtu kimya kimya na wako ataliwa kimya kimya hivyo hivyo. Kama unabisha fatilia wala wake za watu nini hutokea.
Mimi toka enzi hizo niliapa sigusi mke wa mtu! Hata nikutane na tamaa ipi, wanawake wamejaa wa kila aina hakuna sababu ya kuhangaika na mke wa mtu. Kama unahisi roho itakuchomoka ukijua unagongewa basi kaa mbali na wake za watu roho isijekukuchomoka kweli au kupata stress na kuona life haina maana [emoji1787]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Jidanganye kaka hao watulivu ndo mashetani silent killers kakaSio kweli mkuu, kuna watu wanakula mademu wakiwamo hao wake za watu balaa ila unakuta wake zao watulivu kinoma hadi unamuonea huruma katokana wapi na huyo mkosi!
Vice versa is also true.