Kwenye maisha yako mtoto wa kiume usiguse mke wa mtu. Ni laana lazima na mkeo ataliwa! Kama umekubuhu itakuwa hivyo hivyo kwa mkeo.
Kucheat inaweza kutokea lakini ukitafuna mke wa mtu usijekuchanganyikiwa pia ukikukuta mkeo akiliwa! Kama unajiheshimu na unakula mke wa mtu kimya kimya na wako ataliwa kimya kimya hivyo hivyo. Kama unabisha fatilia wala wake za watu nini hutokea.
Mimi toka enzi hizo niliapa sigusi mke wa mtu! Hata nikutane na tamaa ipi, wanawake wamejaa wa kila aina hakuna sababu ya kuhangaika na mke wa mtu. Kama unahisi roho itakuchomoka ukijua unagongewa basi kaa mbali na wake za watu roho isijekukuchomoka kweli au kupata stress na kuona life haina maana [emoji1787]
Sent from my SM-A315F using
JamiiForums mobile app