DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
- Thread starter
- #21
Aise hawa bodaboda ndo hatariUtokea Sana nyumba hizi za kupanga wanaziita behewa yaani zile za kushare korido watu kuzungukana. Haya mambo tuombe tu Mungu azidi kukufunika pazia unaweza ukawa unatembea mtaani bodaboda wanakusanifu tu wanajua udhaifu wako kupitia mkeo.