Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,

Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.

Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"

Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.

Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.
 
Anahisi anakumudu. Jitafakari
 
si kaona dogo katinga kitu new amesens tu sijamwambia mimi.
 
Wanawake ni wabinafsi sana, nilipiga marufuku ndugu zake kwangu baada ya wakwangu kufanyiwa figisu na akanuna akaondoka sikupiga simu wala kumtafuata. Karudi na Baba na Mama yake kuomba radhi, nimewarudisha natafakari mpango wa kuishi na wanangu tu.
 
Huyo mkeo Ana umri gani?
Katokea familia masikini sana huyo mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…