Heshima sio lazima magoti na kuchota maji. Shemeji wanalingana umri na watoto waliopo ndani ya nyumba ambao kazi wanapangiwa kujaza maji ndani. Kwa malezi sawa ya wote hizo ni kazi za kawaida ndani ya nyumba yao.Lazima mke achote maji na awakarimu wageni kwa heshima kubwa.
Sisi kwetu ukerewe mama zetu walikuwa wanapiga hadi magoti mbele za mashemeji kwa heshima kubwa.
Nyie wafuga kucha na diploma zenye za kijinga hizo zenye D MBILI mnajifanya wa kisasa kumbe hakuna lolote mavi matupu ndo maana hamuolewi.
Kama huna adabu olewa na baba ako usilete visirani.
Angalizo, huhitaji lugha kali ku drive a point home