Una ubabe wa kizamani sana mkuuyap heshima first.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ubabe wa kizamani sana mkuuyap heshima first.
Hawezi kuwa na akili za hivi hata huko kaburini aliko.....mjinga baba yako.
Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,
Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.
Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"
Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.
Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa
Sio wanawake wote,huyo wa kwako ana njaaDogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,
Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.
Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"
Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.
Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.
acha uboya hujui dogo atarudi tena nyumbani unataka akaeleze nini?Una ubabe wa kizamani sana mkuu
Mkuu kuna watu wanajifunzia roho mbaya kwa watu wao wa karibu kutokana na wanavo wa treatMimi nawasema wote(wewe na mkeo)hapo pa kumuandalia huyo dogo unamkosea mkeo kwani yeye hawezi jiandalia mwenyewe hivyo vitu vidogo vidogo kama chai?angekuwa mtu mzima kama baba,mjomba hapo sawa..
Mkeo naye aache kisirani siyo vizuri kuwa na umimi(ubinafsi) yeye hawezi kumnunulia ndugu yake nguo/zawadi yoyote akija kuwatembelea...?
Nimepokea ushauri wako mkuuHongera kufungua kitega Uchumi Mkuu, kupitia biashara pamoja na mshahara na Mapato mengine, kutasaidia familia yako iwe na ustawi mzuri
Ninachokushauri, nenda kampangie Chumba huyo Dogo wako wa Saluni ili wewe na Mkeo muwe huru
Sio Wanawake wengi hupendi Wageni, Wageni hufanya msiwe huru
Kama Mkeo alizoea kukaa na wewe mkikumbatiana sebuleni, kwasasa hapati Tena huo Uhuru
Jitahidi umpe furaha Mkeo
Kila la heri kwenu
lengo ndo ilo lakini bado uchumi hujakaa vizuri ko inabidi ajibane tu maskani mpaka uchumi ukiruhusuHongera kufungua kitega Uchumi Mkuu, kupitia biashara pamoja na mshahara na Mapato mengine, kutasaidia familia yako iwe na ustawi mzuri
Ninachokushauri, nenda kampangie Chumba huyo Dogo wako wa Saluni ili wewe na Mkeo muwe huru
Sio Wanawake wengi hupendi Wageni, Wageni hufanya msiwe huru
Kama Mkeo alizoea kukaa na wewe mkikumbatiana sebuleni, kwasasa hapati Tena huo Uhuru
Jitahidi umpe furaha Mkeo
Kila la heri kwenu
Kumbe na wewe unapitia hiyo changamoto na Mkeo?Nimepokea ushauri wako mkuu
Wanawake ni watu wenye akili finyu sana. Msamehe bure mkuu. Nakushauri umpangie dogo chumba aishi maisha ya peke yake asije akatiliwa sumu kwenye chakula. Utakuja kunishukuru.Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,
Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.
Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"
Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.
Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.
Jirani yangu mmoja alikuwa anatakiwa kuchotea shemeji zake maji ya kuoga...hivi kweli?!😂 huyu faza hausi mjinga sana.....
Aaaah we babu kuna mda wa hovyo ahahahahKumbe na wewe unapitia hiyo changamoto na Mkeo?
Mbona Wajukuu zangu wote hawana hiyo tabia, au walikuwa wakinificha Babu yao 😜
Hilo janamke lilirudi hapo kufuata msosi na hela tu hakuna lolote.Wanawake ni wabinafsi sana, nilipiga marufuku ndugu zake kwangu baada ya wakwangu kufanyiwa figisu na akanuna akaondoka sikupiga simu wala kumtafuata. Karudi na Baba na Mama yake kuomba radhi, nimewarudisha natafakari mpango wa kuishi na wanangu tu.
Basi jitahidi ndani ya miezi 3 uwe umemtafutia Chumba cha kupanga, Kuna Vyumba vinapangishwa Kwa shilingi 40,000 hadi 50,000lengo ndo ilo lakini bado uchumi hujakaa vizuri ko inabidi ajibane tu maskani mpaka uchumi ukiruhusu
Wawezakuta hizo rangi alikuwa hajawahi ziona kabla dogo hajaanza kuishi pale.Kama kujipakulia msosi mbona simple tuu...... Hata nisipoandaliwa fresh ishu asinikunjie sura ama mdomo ndo ntashindwa kula
Kingine so lazima ukinunua kitu Cha dogo wife ajue......
Wanawake walio wengi ni wabinafsi na wachoyo hasa kwa ndugu wasio wake
Hahaha................kuwa na imani na WazeeAaaah we babu kuna mda wa hovyo ahahahah
Lazima mke achote maji na awakarimu wageni kwa heshima kubwa.Jirani yangu mmoja alikuwa anatakiwa kuchotea shemeji zake maji ya kuoga...hivi kweli?!
Aaaaah siwezi i cant mkuuHahaha................kuwa na imani na Wazee