Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Hongera kufungua kitega Uchumi Mkuu, kupitia biashara pamoja na mshahara na Mapato mengine, kutasaidia familia yako iwe na ustawi mzuri

Ninachokushauri, nenda kampangie Chumba huyo Dogo wako wa Saluni ili wewe na Mkeo muwe huru

Sio Wanawake wengi hupendi Wageni, Wageni hufanya msiwe huru

Kama Mkeo alizoea kukaa na wewe mkikumbatiana sebuleni, kwasasa hapati Tena huo Uhuru

Jitahidi umpe furaha Mkeo

Kila la heri kwenu
Uzi ufungwe
 
Mtoa uzi namuelewa, ukiwaza kwa context ya mambo anayofanyiwa dogo utajua huyo wife anakosea
UKIISHI KWA NDUGU KAZA MOYO
...
My teenage nimekulia kwa aunt vitimbi visirani vingi ila nilijifunza kuangalia mema tu
...
Yule mama MUNGU ampe siku nyingi licha ya yote niliyopitia kwake
mashetani ya ticktock hayawezi kukuelewa mkuu
 
Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,

Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.

Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"

Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.

Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.
kwani mkeo ni ndugu na mdogo wako?,
 
We jamaa mpumbafu sana, hata kama huyo mke hana kazi ila mthamini. Mtu kamaliza form four atengewe chai ? Na sio kua kaja kusalimia amekuja kukaa kabisa?

Hapo mke akitafuta faraje nje sawa tu mana we mbweha unamchukulia mkeo km house girl,

Unatudhalilisha bwana. KIKAO CHA MWISHO HAUKUEPO WEWE?
umeoa?
 
Tanzania Kuna shida kubwa Sana ya uelewa...

Wewe kumuandalia CHAKULA umeelewajee??

Mbona jamaa kasema vizuri TU

*Kuandaa CHAKULA ni neno lenye tafsiri nyingi/panaa

Mf. Kupika na kuweka mezani au e.t.c

Huyo kijana CHAKULA kipikwe aende kujipakulia mwenyewe??!! Jikoni akipakua NYAMA kubwa kubwa☺️
Hakuna cha nyama wala nini,huu ni ugomvi unaohusu Maandazi na shati jipya,au hujasoma mada?
 
Tanzania Kuna shida kubwa Sana ya uelewa...

Wewe kumuandalia CHAKULA umeelewajee??

Mbona jamaa kasema vizuri TU

*Kuandaa CHAKULA ni neno lenye tafsiri nyingi/panaa

Mf. Kupika na kuweka mezani au e.t.c

Huyo kijana CHAKULA kipikwe aende kujipakulia mwenyewe??!! Jikoni akipakua NYAMA kubwa kubwa☺️
Hii iko sawa tu mbona, nina imani kinapikwa cha pamoja na kuwekwa mezani.
 
Shemeji ni Shemeji hata kama ni mdogo heshima lazima iwepo. Yule ni mume wako pia.

Nyie wanawake wa siku hizi hamjui maadili ya ndoa kabisa, mnapaka tu kucha rangi.

Sio kwangu, nikibaini una viashiria vya utovu wa nidhamu nakushughulikia instantly.

Utarudi kwenu no matter what.
Aah bro...si utafanya hata mkeo akose viheshima fulani maana ufanyacho wewe hata wengine wataiga na kufanya ndio utaratibu.
 
Wanawake wanahitaji akili kuishi nao.
 
Inabidi Hawa dada zetu wakiolewa waache nongwa..... Ndo maana Mimi sipendi kwenda kwa ndugu kama hivi mtu anakuchekea kifala tuu kumbe hamna kitu

Afu Mimi nikienda sehemu ama kwa mtu Kuna Hali Niki sense tuu najua hapa hamna sipo najikataa mapema mno 😂
Wawezakuta hizo rangi alikuwa hajawahi ziona kabla dogo hajaanza kuishi pale.
Sasa mabadiliko ya ghafla ndiyo yanamshamgaza!

Inaonekana kama hajui cha kufanya baada ya dalili za uvunjifu wa maadili kuoneshwa dhahiri hapo nyumbani.
 
Back
Top Bottom