Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,

Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.

Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"

Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.

Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.

Ukitaka Kuwa na furaha na mkeo ni mchoyp mtenge na ndugu zako, ku deal na mwanamke inaitaji busara sana
 
Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,

Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.

Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"

Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.

Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.
Mtusamehe bure Jamani 😅
 
Mkuu nakupa hongera kwa ujasiri wako, wanaume wenzetu wanaogopa wake zao vibaya mno, mimi wangu ndugu zake wanakuja kukaa kiroho safi, wakisogea wakwangu alikuwa anaanza kufula, nilimpa onyo kali sana, basi likamfanya awe mwoga hadinleo
 
Wanawake sina hamu nao,nahis maisha yangu nikisema niishi nao nitakufa mapema,sahv nataka nitafute singo mama ambae ana kwake nimshike masikio awe mchepuko wangu wa kudumu,awe na kwake na mimi na kwangu,tuwe tunakutana kugegedana tu
Hautakua na raha yoyote 😅😅
 
Hautakua na raha yoyote 😅😅
Hapo ndo nainjoy sasa,tutakuwa tunamisiana sana lakin hii ya kuwa kila siku tupo pamoja nimeshaona haifai,kwanza wanawake wasasa adabu hawana na wanapenda kuwa watawala na wizi wa hela,sasa mimi sjazoea maisha ya kuvutana
 
Kumbe amuandalie nani kama sio yeye, acheni kuwaogopa wakezenu
Kumheshimu mke wako siyo kumuogopa. Wewe unaona sàwa kumuamuru mkeo awe ànanwandalia mtoto wa dada yako chakula? Mtoto wa dada yako ni mtoto wako, sàsa badala àtumwe jikoni akachukue chai sasa nae awe kidume kama baba mwenye nyumba aandaliwe chakula mezani?
Keshapikiwa inatosha.
 
kumbe ni mpwa tu

mpwa ni kama mtoto tu

mimi nikienda kwa kina mjomba najipakulia, na ninapika kabisa

nikajua ni mdogo wako labda kuna taratibu zinafuatwa huko ndoani kumbe ni mpwa tu
Huyu dogo hajui kuongoza familia, siwezi kuwa sawa na mtoto wa dada yangu ninayemlea kwangu.
 
Makiwendo mbona ume react kwa mshangao Swahiba?

Mwanamke akitokea kwenye familia za kimasikini uliopitiliza halafu na elimu akawa hana ni lazima atakuwa na roho mbaya na wivu wa hovyo hovyo.

Nimeandika hivyo huyo mwanamke katokea familia masikini kwa sababu yaani huyo dogo kanunuliwa shati tu roho tayari ishamuuma.

That was my concern
 
Hapo ndo nainjoy sasa,tutakuwa tunamisiana sana lakin hii ya kuwa kila siku tupo pamoja nimeshaona haifai,kwanza wanawake wasasa adabu hawana na wanapenda kuwa watawala na wizi wa hela,sasa mimi sjazoea maisha ya kuvutana
Uoga huo, unaibiwaje sasa na kila kitu kipo kwa jina lako
 
Kumheshimu mke wako siyo kumuogopa. Wewe unaona sàwa kumuamuru mkeo awe ànanwandalia mtoto wa dada yako chakula? Mtoto wa dada yako ni mtoto wako, sàsa badala àtumwe jikoni akachukue chai sasa nae awe kidume kama baba mwenye nyumba aandaliwe chakula mezani?
Keshapikiwa inatosha.
Dogo anatumika kututafutia pesa mkuu, anarudi kachoka tena ajiandalie chakula?
 
Back
Top Bottom