Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Kuna siku atamuandalia chakula chako ndio utanyooka. Mkeo ni boss wa huyo anko acha kumshushia heshima.
Huyo kijana alipata privilege ya kuandaliwa akiwa mgeni ila sio utaratibu. Yeye ndio inatakiwa awaandalie nyinyi acha ujinga
Huyo kijana alipata privilege ya kuandaliwa akiwa mgeni ila sio utaratibu. Yeye ndio inatakiwa awaandalie nyinyi acha ujinga
Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,
Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.
Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"
Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.
Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.