nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
- #121
nimegundua maadili yana difa from one area to anotherKwani uki mpa kiti na mashine si ndo ajira yenyewe, au una taka mpaka umpe mtaji.
Jiheshimu na mheshimu mkeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimegundua maadili yana difa from one area to anotherKwani uki mpa kiti na mashine si ndo ajira yenyewe, au una taka mpaka umpe mtaji.
Jiheshimu na mheshimu mkeo
Kumbe amuandalie nani kama sio yeye, acheni kuwaogopa wakezenuYaani unamwambia mkeo amuandalie huyo dogo chakula na isijirudie tena? Pole yake
ajabu sana mkuuKumbe amuandalie nani kama sio yeye, acheni kuwaogopa wakezenu
Nina wajukuu, humu uwe na adabu.umeoa?
Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,
Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.
Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"
Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.
Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.
Mtusamehe bure Jamani 😅Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,
Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.
Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"
Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.
Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.
Mkuu nakupa hongera kwa ujasiri wako, wanaume wenzetu wanaogopa wake zao vibaya mno, mimi wangu ndugu zake wanakuja kukaa kiroho safi, wakisogea wakwangu alikuwa anaanza kufula, nilimpa onyo kali sana, basi likamfanya awe mwoga hadinleoDogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,
Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.
Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"
Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.
Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.
Hautakua na raha yoyote 😅😅Wanawake sina hamu nao,nahis maisha yangu nikisema niishi nao nitakufa mapema,sahv nataka nitafute singo mama ambae ana kwake nimshike masikio awe mchepuko wangu wa kudumu,awe na kwake na mimi na kwangu,tuwe tunakutana kugegedana tu
kumbe ni mpwa tuDogo ni mtoto wa dada yangu mkuu
Hapo ndo nainjoy sasa,tutakuwa tunamisiana sana lakin hii ya kuwa kila siku tupo pamoja nimeshaona haifai,kwanza wanawake wasasa adabu hawana na wanapenda kuwa watawala na wizi wa hela,sasa mimi sjazoea maisha ya kuvutanaHautakua na raha yoyote 😅😅
Kumheshimu mke wako siyo kumuogopa. Wewe unaona sàwa kumuamuru mkeo awe ànanwandalia mtoto wa dada yako chakula? Mtoto wa dada yako ni mtoto wako, sàsa badala àtumwe jikoni akachukue chai sasa nae awe kidume kama baba mwenye nyumba aandaliwe chakula mezani?Kumbe amuandalie nani kama sio yeye, acheni kuwaogopa wakezenu
Kwa hiyo ndugu zangu niwatenge kisa mke? hapana bora niwe singoUkitaka Kuwa na furaha na mkeo ni mchoyp mtenge na ndugu zako, ku deal na mwanamke inaitaji busara sana
Huyu dogo hajui kuongoza familia, siwezi kuwa sawa na mtoto wa dada yangu ninayemlea kwangu.kumbe ni mpwa tu
mpwa ni kama mtoto tu
mimi nikienda kwa kina mjomba najipakulia, na ninapika kabisa
nikajua ni mdogo wako labda kuna taratibu zinafuatwa huko ndoani kumbe ni mpwa tu
Uoga huo, unaibiwaje sasa na kila kitu kipo kwa jina lakoHapo ndo nainjoy sasa,tutakuwa tunamisiana sana lakin hii ya kuwa kila siku tupo pamoja nimeshaona haifai,kwanza wanawake wasasa adabu hawana na wanapenda kuwa watawala na wizi wa hela,sasa mimi sjazoea maisha ya kuvutana
YeahAkimla tulia tuliii
Dogo anatumika kututafutia pesa mkuu, anarudi kachoka tena ajiandalie chakula?Kumheshimu mke wako siyo kumuogopa. Wewe unaona sàwa kumuamuru mkeo awe ànanwandalia mtoto wa dada yako chakula? Mtoto wa dada yako ni mtoto wako, sàsa badala àtumwe jikoni akachukue chai sasa nae awe kidume kama baba mwenye nyumba aandaliwe chakula mezani?
Keshapikiwa inatosha.
Kwa hiyo ndugu zangu niwatenge kisa mke? hapana bora niwe singo
basi wewe ni bwe*geNina wajukuu, humu uwe na adabu.