Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Hahaha..........Kuna Binti wa Mzee Juma hapa jirani alimaliza kidato cha nne Mwaka Juzi, nafikiri huyu atakufaa Mzee mwenzangu, Kwa maana namwona yupo busy na shughuli za Kilimo tuKabisa mzee mwenzangu ,kheri ya mwaka mpya .
Uko uliko hakuna kabinti kadogo kanakotaka kuolewa nimechoka kujiuguza na majeraha ya kudondokea mitaroni ninapotoka klabuni
Heri ya Mwaka Mpya kwako Mkuu, ni neema ya Mungu kuweza kuona Mwaka Mpya