Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

niko kwenye ndoa 31 yrs now kijana, na wajukuu kibao, muda wakuolewa nilishaupita miaka mingi kijana wangu.
Sema sisi wanaume wavumilivu sana.

Kuna jamaa kakuvulimia miaka yote hiyo na hizi tabia zako.
 
Kweli usimsahau shemeji kwa zawadi. Ila upande wangu ningekuwa tofauti maana hata watoto wangu walianza kujifulia nguo zao wakiwa wadogo, hivyo ningekufulia mpaka umri fulani halafu nikuache usonge mbele mwenyewe.
 
Kumbe dog anawaingizia ela nzr bas jiandae kuchapiwa mkeo
 
Wanawake ni wabinafsi sana, nilipiga marufuku ndugu zake kwangu baada ya wakwangu kufanyiwa figisu na akanuna akaondoka sikupiga simu wala kumtafuata. Karudi na Baba na Mama yake kuomba radhi, nimewarudisha natafakari mpango wa kuishi na wanangu tu.
Safi, kazia hapo hapo.
 
Kwahiyo una mshaurije mtoa mada, amwache mkewe au afanyaje?

Kuna vitu vinaepukika Mkuu, afunike kombe mwanaharamu apite
 
Hapa ndipo vijana wa kataa ndoa wanachukua point 3.

Binafsi kuna mambo nilikuwaga simuelewi Mzee wangu hadi nilipoingia kwenye ndoa.

Wanawake wanazingua sana kwenye maswala ya ndugu zetu yaani wanahisi wanakumiliki na wanamaamuzi na ukoo wako. Endeleza msimamo kaka na pia naungana na wanaokushauri umpangie chumba dogo.

Ila hapo kwenye kuandaliwa chakula mkuu, mfanye dogo asiwe muoga azoee kuingia jikoni na kujichukulia chakula.
 
Dogo kamaliza form 4. Unataka mkeo amtengee chai kwa heshima na adabu. Ikibidi apige na goti....hivi unamchukulije mkeo?
Au unataka huyo dogo amchukulieje mkeo?
Haja sema hayo uliyandika , tuache utoto jamaa ana hoja nzuri. Huyo nikama mwanae, wanao Huwa unawapa vitafunwa mkononi? Sahani hazipo? Harafu Kuna watu wanawaza ngono tu hii ni dalili ya ujinga
 
Mleta mada ni kama hamjamuelewa, kasema kamleta anko toka kijijini,nilivyomwelewa amaanishi anko ndugu na mama yake,anamaanisha anko mtoto wa dada yake au sio mleta mada,sasa huyu anko mtoto wa dada yake si vibaya kuandaliwa chakula na shangazi yake,kwa maana nyingine huyu ni mtoto wao pia,,kuna ubaya gani hapo kumwandalia mtoto chakula hata kama anakaribiana na shangazi yake kwa umri haina mbaya,mhimu nidhamu na tabia njema izingatiwe kwa pande zote mbili.,
 
Mnapooa ombeni Mungu kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…