Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi


Sio wanawake wote,huyo wa kwako ana njaa
 
Mimi nawasema wote(wewe na mkeo)hapo pa kumuandalia huyo dogo unamkosea mkeo kwani yeye hawezi jiandalia mwenyewe hivyo vitu vidogo vidogo kama chai?angekuwa mtu mzima kama baba,mjomba hapo sawa..

Mkeo naye aache kisirani siyo vizuri kuwa na umimi(ubinafsi) yeye hawezi kumnunulia ndugu yake nguo/zawadi yoyote akija kuwatembelea...?
 
Hongera kufungua kitega Uchumi Mkuu, kupitia biashara pamoja na mshahara na Mapato mengine, kutasaidia familia yako iwe na ustawi mzuri

Ninachokushauri, nenda kampangie Chumba huyo Dogo wako wa Saluni ili wewe na Mkeo muwe huru

Sio Wanawake wengi hupendi Wageni, Wageni hufanya msiwe huru

Kama Mkeo alizoea kukaa na wewe mkikumbatiana sebuleni, kwasasa hapati Tena huo Uhuru

Jitahidi umpe furaha Mkeo

Kila la heri kwenu
 
Mkuu kuna watu wanajifunzia roho mbaya kwa watu wao wa karibu kutokana na wanavo wa treat
 
Nimepokea ushauri wako mkuu
 
lengo ndo ilo lakini bado uchumi hujakaa vizuri ko inabidi ajibane tu maskani mpaka uchumi ukiruhusu
 
Wanawake ni watu wenye akili finyu sana. Msamehe bure mkuu. Nakushauri umpangie dogo chumba aishi maisha ya peke yake asije akatiliwa sumu kwenye chakula. Utakuja kunishukuru.
 
Wanawake ni wabinafsi sana, nilipiga marufuku ndugu zake kwangu baada ya wakwangu kufanyiwa figisu na akanuna akaondoka sikupiga simu wala kumtafuata. Karudi na Baba na Mama yake kuomba radhi, nimewarudisha natafakari mpango wa kuishi na wanangu tu.
Hilo janamke lilirudi hapo kufuata msosi na hela tu hakuna lolote.

Wanawake ni walafi wa vyakula aisee sijapata ona!

Jitu lichoyo kama shetani hadi linaficha maugali kaaahh!!!

Sitaki kuishi na mtu mchoyo kabisa, hata mimi ningemfukuza aende akalime huko! Eboo!
 
lengo ndo ilo lakini bado uchumi hujakaa vizuri ko inabidi ajibane tu maskani mpaka uchumi ukiruhusu
Basi jitahidi ndani ya miezi 3 uwe umemtafutia Chumba cha kupanga, Kuna Vyumba vinapangishwa Kwa shilingi 40,000 hadi 50,000

Ukiweza Fanya hivyo ili kumpa furaha Mke wako

Ndoa yako ikiwa na amani, hupelekea kukupa Utulivu Mwanaume

Lakini ikishaanza migogoro midogo midogo kama hiyo, inaweza kuwa ni tiketi ya kuanza kurudi nyumbani saa nane za Usiku
 
Wawezakuta hizo rangi alikuwa hajawahi ziona kabla dogo hajaanza kuishi pale.
Sasa mabadiliko ya ghafla ndiyo yanamshamgaza!

Inaonekana kama hajui cha kufanya baada ya dalili za uvunjifu wa maadili kuoneshwa dhahiri hapo nyumbani.
 
Jirani yangu mmoja alikuwa anatakiwa kuchotea shemeji zake maji ya kuoga...hivi kweli?!
Lazima mke achote maji na awakarimu wageni kwa heshima kubwa.

Sisi kwetu ukerewe mama zetu walikuwa wanapiga hadi magoti mbele za mashemeji zao tena kwa heshima kubwa sana goti linapigwa mpaka linagusa ardhi.

Nyie WAFUGA KUCHA na MAKOPE na diploma zenu za kijinga hizo zenye D MBILI mnajifanya wa kisasa kumbe hakuna lolote mavi matupu ndo maana hamuolewi.

Kama huna adabu olewa na baba ako usilete visirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…