Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Mpangishie chumba karibu ya frem ya saloon yako, kesi zingine mnazileta wenyewe - unaenda likizo unarudi na kiumbe bila kumshirikisha mwenzio.
 
Kwahiyo una mshaurije mtoa mada, amwache mkewe au afanyaje?

Kuna vitu vinaepukika Mkuu, afunike kombe mwanaharamu apite
Hakuna cha kumpangishia dogo chumba kaama wengine wanavyomshauri jamaa, amwambie tu dogo asijali achukulie poa tu kwa mambo madogomadogo anayomtreat yule mwanamke na kwamba asiogope kumweleza jamaa kama kuna jambo siliaz lenye sura mbaya atatendewa.
Vinginevyo atafunika hilo kombe hadi lini!?
Je hawatapata mgeni mwingine!?
Huyo mwanamke atamwendesha jamaa kama atakuwa wa kufunika kombe, visa havitaishia hapo. Akiona anashindwa kuishi atakavyo mwanaume anasepa tu akaishi anavyotaka.
 
Umesema sahihi Mkuu, japo wamwelekeze huyo Dogo kuhusu kusaidia kazi ndogo ndogo za hapo nyumbani

Akishaanza kutengewa Chai, kesho atataka akatandikiwe Kitanda na Shemeji yake
 
As a man balance mizani yako vitu vidogovidogo na mambo ya jikoni ya kupeana mandazi vitakutoa kwenye chaki.

Kama janja kaja town kupigakazi kwanini asijitegemee kuhusu msosi iwe home anakuja kulala tu msosi iwe siku atakayoshinda home tu au siku akichelewa kutoka.
Pia akishakuwa mwenyeji unampangia room karibu na ofisi ajitegemee.
 
Tunaongea kila siku, acheni kuoa/kudate wanawake maskini
Je ukisaidia kwao anaongea?!
Ila kuna namna wewe ni dhaifu dana,
laiti ndio nimenunulia nguo ndugu akaingea huo ujinga, nailama financial familia yao yote
 
Umesema sahihi Mkuu, japo wamwelekeze huyo Dogo kuhusu kusaidia kazi ndogo ndogo za hapo nyumbani

Akishaanza kutengewa Chai, kesho atataka akatandikiwe Kitanda na Shemeji yake
Kweli bwn, ubinadamu kazi sana.
 
Mkuu hapo kwenye ulafi wa maugali aisee hakika wanawake karibi asilimia 90 ni walafi wa maugali na wabinafsi na wana roho mbaya na ukitaka kumjua mkeo subiri ndugu zako waje kwako wakae hata siku mbili…
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom