Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Yote hayo ni kazi bure kama haumlishi blanket...

Screenshot_20220321-080119~2.jpg
 
Wewe kama mimi tu nikiwa na dem wangu(mchepuko ) mzur kodi na matumizi yake binafsi natimiza 100% but papuchi nayo nachakata sana zaid ya kawaida

Ujue kumlipia dem kodi sio ujinga em check hii hesabu
Usimlipie kodi muwe mnakutana hotel
Hotel ya kawaida tu room ni 70-100
Tuseme kwa mwez msex mara nne so utakuta umetumia zaid ya 300k kwa mwe

Why usitafute master nzur kwa 250 au 300 umweke atulie pale utachakata papuchi hata zaid ya mara kumi kwa mwezi

Kumpangia mchepuko ni ujanja sio ushamba
 
Hakika mtafika mbali....

Ukianza ujenzi kwenye kiwanja chako nae mjengee umbali sawia na mlivyopanga.

Kama hujanunua kiwanja au shamba fanya kununua mawili moja liwe lake....

Mdinyo wa shamba/site unakuwaga mtamuuuu....😋😋😋

Kwa hayo makazi mapya ya bibie na utulivu wa nafsi zenu kwenye kupeana, jiandae na mimba na kulea mtoto.

Utamu wa nazi mbatata anaujua mkwezi....🤩🤩.
 
Mkuu mchepuko wako n babukubwa kinomaa hata ww mkwanja inaoneka upo maana c KWA gari ile ulikuja nayo paleee n shdaaa,naiman mafundi wameshamaliza ukarabati na kashaamiaa shemeji na vile mtaa ule hauna kelele nyingi bc n burudan gari unapak ndan ya geti,mm n boda boda wa mchepuko wako mkuu
 
Back
Top Bottom