2sexy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2020
- 682
- 1,529
Daaa nimekumbuka mdinyo. Tulivyoenda shamba aiseee ni mtamu balaaa😍Hakika mtafika mbali....
Ukianza ujenzi kwenye kiwanja chako nae mjengee umbali sawia na mlivyopanga.
Kama hujanunua kiwanja au shamba fanya kununua mawili moja liwe lake....
Mdinyo wa shamba/site unakuwaga mtamuuuu....😋😋😋
Kwa hayo makazi mapya ya bibie na utulivu wa nafsi zenu kwenye kupeana, jiandae na mimba na kulea mtoto.
Utamu wa nazi mbatata anaujua mkwezi....🤩🤩.