Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Kuna njemba ilimnunulia mchepuko nyumba. Alipofukuzwa kazi walihamia kwenye vyumba viwili vya kupanga yeye na mke wake.
What the https://jamii.app/JFUserGuide. Dah!
Inamaana hakuandika jina lake?
 
Ukiangalia hayo hutafanya kitu

Piga gharama unayolipia hotel halaf uone mjinga wewe au mm
Sasa usimwite mchepuko ita mke mdogo,kama umempangishia nyumba huyo si mchepuko.
 
Wanaume waliozaliwa mikoani mna shida Sana!

Utakuta huyo demu yupo Badoo,Tantan,Tinder analiwa kwa elfu ishirini kwa usiku.
200 kwa siku kwa mwezi ni laki 6, hivyo ingenigharimu zaidi ya hapo
 
Siku michongo ikienda kombo ukose hata kod ya mwez, ndo utaisoma namba..huku unapewa maneno ya dhihaka na kidume mwenzio anapewa unavyo pewa hivi sasa, sidhan kama hizo raha utazkumbuka tena.

Jenga, wajengee wazazi, boresha uchumi wako, na wanao, kama vyote hivyo tayari, basi hakikisha zaka na sadaka unatoa, ili ujiwekee hazina mbinguni, kuliko hayo matatizo unayo palilia hapo.
Nachojali ni kula kwa Sasa, hayo ya baadae sijui na naweza pia kumuacha
 
Mungu aturehemu.Sikulaumu mkuu ila nakuonea huruma sababu huenda huyo dada amekumezesha chip kutoka kwa wale waganga.So unaweza ukawa unaendeshwa kwa remote bila wewe kujua (artificial intelligence)
Akili za kiswahili hizi
 
Mm sijawai kumlipia manzi chumba Wala kageto tu na Bado nawal pisi Kali tu na mm
Nyie walipieni s amlali Mara kwa Mara mle tutawasadia kuwalinda pindi mrudipo kwa wake zenu ss tuatitwa kwenda kupeleka fire

Note
Wakat fln mwak 2020 nilikuwa nashare demu na mtu mmoja kigog wa serekalini mpka alivyokuja tumbuliwa ila Bado Yuko vzr ingawa pia demu Niko nae mbalii kwa sas ila najipigia popote
Nilisha mla had kweny hgari yake piga Sana tu
Siku ukijichanganya na ww unaliwa
 
Back
Top Bottom