Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Baada ya kulipa hiyo hela umedinya vidudu hivihivi tunavyo dinya na sisi au .....? Kwanza huyo mwanamke Hana akiki hiyo hela Bora angetafuta chumba Cha hata laki hizo nyingine anunuliwe plot ....Ila kwa sababu jamaa na demu wote vilaza ndio maana wamefanya huo upuuzi
Unadhani kila mtu anaoenda kuishi stoo chief?[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana. Ila angekuja jamaa yako au mshkaji akuombe hata elfu 50 ya kutatua changamoto inayomkabili, utampa saundi za maisha magumu aisee hela haikai.
Mwanaume unataka kusaidiwa? Acheni kulalamika
 
my first principle ambayo imenisaidia sana kabla sijahonga huwa napiga nyeto mara 3...baada ya hapo kama ilo wazo la kuhonga litaendelea kunisumbua hapo nitarudia tena kupiga nyeto mara 2 kisha ndio nahonga...
 
Nilikua nikipata shida sana na moja ya mchepuko wangu uliokua ukikaa sana mbali. Chukulia mfano Tegeta na Mbagala. Ilinipa wakati mgumu sana kwa maana kuna muda nachelewa kurudi home alafu nakosa sababu za msingi.

Option iliyobakia ilikua ni kumhamishia viunga vya karibu, sio karibu kihivyo. Chukulia mfano K/Nyama na Sinza. Alinieleza hana pesa ya Kodi Ila amepanta sehemu nzuri na iko private. Kodi laki 4, na mwenyewe anataka mwaka.

Bila hiyana nikaazama mfukoni na nikalipa ili niendelee kula utamu. Ni utamu kweli, huwa sinaga kabisa mazoea na pisi mbovu. Bila kugharamia hawa Watoto wazuri utaishia kula kwa macho tu. Vizuri gharama.

Baada ya kumhamishia karibu, sasa hivi mapenzi yameongezeka sana
Unakuta mwenzio anaingia anakula bure
 
Back
Top Bottom