Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Baada ya kulipa hiyo hela umedinya vidudu hivihivi tunavyo dinya na sisi au .....? Kwanza huyo mwanamke Hana akiki hiyo hela Bora angetafuta chumba Cha hata laki hizo nyingine anunuliwe plot ....Ila kwa sababu jamaa na demu wote vilaza ndio maana wamefanya huo upuuzi
 
H

ahahha!ila muache tu..huenda wameridhia kama familia..sema kama ameshndwa hata kuamka kweny kiti sidhan kama ana muda mrefu wa ku survive!!!
Halafu Bibi harusi ndio atarithi Mali?
 
Eennheee...... nasikiliza kwa makini....
wanyamwezi wazuri...

alikua mrefu amejaa lakini sio ka gunia, kiuno, kalio, hips na guu kila kitu kwa mpangilio..

ana sura flani ya upole, akiwa ana lia kwa kisikilizia utamu wa bakora napandisha mzuka wa kimasai...

Dah!, Tabora raha nitarudi sikonge sio kutembea ila nitafuata tunu niliyoiacha niachane na mawe, kama kujenga nyumba bora niende tabora🤗
 
Aahahahahhaaa punguza sauti....

Kuna watapata wivu tuu kwa maneno yako...

Kuna watasema una exaggerate....

Ukirudi Tabora msalimie Kalunde.
 
kuna wakati hakuna namna lazima nisema tu, wenye wivu wanywe sumu nitafika kwa kina kalunde kufikisha salamu lakini nikienda sina uhakika wa kurudi
 
Baba yeyooo..... 🤩🤩🤩

Itakuwa ulisingwa na uji wa vuguvugu wa karanga na asali wewe....😅😅

Kama hujasingwa na hiyo kitu na huna hakika kama utarudi ulikotoka, siku ukisingwa nayo wallah sio tuu hautorudi ulikotoka....

Ni zaidi ya mwambao..😋

Kila la kheri ufikapo Sikonge.
 
ndio natamani hayo mambo ya ndani ndani ya wanyamwezi, sio niyasikie ila niyaone na niyaishi nikiwa sikonge
 
😊😊 kwa hitaji la moyo wako, umefika mahala salama.

Tegemea utulivu wa nafsi, akili na moyo na hivyo kuwa na mwanya wa kufanya mambo mengine ya maendeleo bila kuvurugwa na mapenzi....

Shurti kubwa, kila ukaribishwapo chakula usiseme nimeshiba hata kama umeshiba. Kula kidogo kidogo hata ukibakisha sawa kuliko kutokula kabisa...

Ila uwe imara kwelikweli... mzigo sio mwepesi unaouendea...😄😄 na haupoooiii...😁😁😁.

Asshenalleh..
 
Asshenalleh...
nakuja tabora hakuna jinsi, moyo nimeshampatia nadhani hata akili yangu itatulia tu

kwenye chakula hata kwetu kyela ukikaribishwa chakula hautakiwi kusema umeshiba ukarimu ndio asili ya mtanzania...

Niko vizuri kubeba zigo, wakurugwa wanasema lazima nisimamie kucha mpaka mtoto afike kilimani kwa jasho na chozi lenye raha na utamu 🤸🤸
 
Aahahahahahah mkikolo, ughonile...

Ndaga ndaga phijoo 😅😅

Eeeh kumbe ni shemeji Mwaisa...😅😅 naloolii...aahahahahaaa.

Kasie Matata 😉
 
Back
Top Bottom