Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Nilikua nikipata shida sana na moja ya mchepuko wangu uliokua ukikaa sana mbali. Chukulia mfano Tegeta na Mbagala. Ilinipa wakati mgumu sana kwa maana kuna muda nachelewa kurudi home alafu nakosa sababu za msingi.

Option iliyobakia ilikua ni kumhamishia viunga vya karibu, sio karibu kihivyo. Chukulia mfano K/Nyama na Sinza. Alinieleza hana pesa ya Kodi Ila amepanta sehemu nzuri na iko private. Kodi laki 4, na mwenyewe anataka mwaka.

Bila hiyana nikaazama mfukoni na nikalipa ili niendelee kula utamu. Ni utamu kweli, huwa sinaga kabisa mazoea na pisi mbovu. Bila kugharamia hawa Watoto wazuri utaishia kula kwa macho tu. Vizuri gharama.

Baada ya kumhamishia karibu, sasa hivi mapenzi yameongezeka sana
Vizuri gharama na vizuri vinaliwa na wengi, kama swala ni pesa imeisha hiyo akipewa pesa anakusahau wewe pia vile vile, bado wale wajuba ambao hawana pesa na demu wako kaanguka huko sasa wale wanapiga show sio chini ya kiwango,
 
Wewe kama mimi tu nikiwa na dem wangu(mchepuko ) mzur kodi na matumizi yake binafsi natimiza 100% but papuchi nayo nachakata sana zaid ya kawaida

Ujue kumlipia dem kodi sio ujinga em check hii hesabu
Usimlipie kodi muwe mnakutana hotel
Hotel ya kawaida tu room ni 70-100
Tuseme kwa mwez msex mara nne so utakuta umetumia zaid ya 300k kwa mwe

Why usitafute master nzur kwa 250 au 300 umweke atulie pale utachakata papuchi hata zaid ya mara kumi kwa mwezi

Kumpangia mchepuko ni ujanja sio ushamba
Mbinu za kivita hizi
 
Haahaaa nimeona picha za mzee wangu Mrema yupo tayari kwa ndoa nimesikitika Sana juu yake....kaamua kujiongeza maradhi?

Haahaaa nimeona picha za mzee wangu Mrema yupo tayari kwa ndoa nimesikitika Sana juu yake....kaamua kujiongeza maradhi?
Hahah!ameona vijana tunafaidi sanaa....ila namtatea mzee wetu...muda mwngi hakula ujana..alikuwa mkereketwa wa siasa na kuvuka stage ya kwenda kidimbwi ma samak samaki...muache amalizie stg yake ili aweze pumzika kwa amani
 
Hivi ulimwengu wa leo kuna mtu anafuga mchepuko huku akiamini kwamba yupo pekee yake?? Seriously?
Hata mke/mme ndani ya familia ni ngumu kuwa pekee yako..wanaliwa na kula sana......sembuse mchepuko?
Tuwe serious kidogo basi wajameni au mnasemaje??? (in Uhuru Kenyatta's voice)..
nahofia asije kuua mtu bure akapata kesi
 
Hahah!ameona vijana tunafaidi sanaa....ila namtatea mzee wetu...muda mwngi hakula ujana..alikuwa mkereketwa wa siasa na kuvuka stage ya kwenda kidimbwi ma samak samaki...muache amalizie stg yake ili aweze pumzika kwa amani
Yaani mzee Kazingua,ana binti yake yupo pale airport Ni mshkaji wangu nashindwa hata kumpa salamu za pongezi kwa kupata mama wali ye sawa kiumri....kweli ni Vyema kuzingatia stage,nakuunga mkono aliruka stage
 
Na ndiyo hayo hayo maanake yanayozungukaga kutwa kushinda na kulala kwa kuridhia kufanyiwa vyovyote iwezekanavyo kwa Waganga wa kienyeji ilimradi tu ajimilikishe jumla Mume wa Mtu bila ya kujali madhara yoyote yale yatayoipata familia ya Mume wa Mtu kama hivi [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2162333View attachment 2162334
Daaahhhh akili za wanawake banaaa.
Sasa hapo mganga anamkunyisha mteja wake kwenye chungu, halafu akimaliza kukunya mganga ndio mwenye jukumu la kumtawaza huyo mdada kisha anauingizia dawa kwenye hicho kikunyio chake.
Sipati picha harufu iliyotawala kwenye hicho chumba cha kaka mganga.
 
Yaani mzee Kazingua,ana binti yake yupo pale airport Ni mshkaji wangu nashindwa hata kumpa salamu za pongezi kwa kupata mama wali ye sawa kiumri....kweli ni Vyema kuzingatia stage,nakuunga mkono aliruka stage
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Noma sana mshikaji wangu
 
Daaahhhh akili za wanawake banaaa.
Sasa hapo mganga anamkunyisha mteja wake kwenye chungu, halafu akimaliza kukunya mganga ndio mwenye jukumu la kumtawaza huyo mdada kisha anauingizia dawa kwenye hicho kikunyio chake.
Sipati picha harufu iliyotawala kwenye hicho chumba cha kaka mganga.
Hiyo pupu inakaushwa inasagwa na mizizi,ukipikiwa kitu inawekwa ule mpenzi😄...kwa Nini usihonge nyumba sasa
 
Hiyo pupu inakaushwa inasagwa na mizizi,ukipikiwa kitu inawekwa ule mpenzi[emoji1]...kwa Nini usihonge nyumba sasa
Mi nimewaza tu huyo kaka mganga atakua na matumizi gani na hio round about ya dada mteja, maana sio kwa kulishikilia uno hilo lililovishwa shanga.
Mi niko mbali huku lakini baada kuona tu hio style alieyokaa dada mteja wakati anaangusha yai mimi huku mbooooooooo imesimama.
Waganga wanafaidi sana jamani.
 
Back
Top Bottom