dojonase
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 1,692
- 2,312
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilitumia hiyo pesa kwa muda wa miaka mitano japokua yangu ilizidi kidogo hapo nikaonekana mzinzi njoo muone huyu alietumia kwa ajili ya kodi tu ili apate papuchi kwa kuibia
Nyumba ya laki 4 huijui ilivyo bibie? Unaishi ulimwengu gani wewe 😂Nimewaza tu hiyo nyumba inafananaje!!
Hii summary ndio inaelezea kidume kwa hali halisi kabisa😂Hehehe hapa naona kuna watu wa aina mbalimbali
Kuna wale wasio na hela ila wana skill, kuna wenye hela hawana skill na kuna wasio, wenye hela na wasio na skill na wenye hela na skill
Wenye hela na skill wako pembeni wanalike tu comment za upande wowote. Wanaelewa kulingana na lengo lako na mwanamke inabidi utumie karata inayofanya kazi kwake huyo mwanamke
Wenye hela bila skill wanasupport hili swala kwa kuwa ndio njia ambayo imewaletea mafanikio kwao. Silaumu jambo hili, you use whatever tools are effective.
Wenye skill bila pesa wanalalamika kwa kuona ni upotevu wa pesa. Hawa nao nawaelewa kwa kuwa wanaegemea katika skill zao pekee. Kwa bahati mbaya kuna milango skill pekee hazitoshi japo nalo si ishu kwa kuwa huwezi kumpata kila mwanamke hata uwe bilionea na player kama Diamond in one.
Wasio na skill na pesa ndio wanaleta matusi na mada za nje ya suala linaloongelewa. Aidha kutokana na experience mbaya kupambana na mtu mwenye hela katika mapenzi au basi tu kwa kutofurahia linaloendelea. (Kuna wengine pia ambao hawapo katika kundi hili ila nao wanaleta haya masimango)
Kitu cha msingi tu ni mtoa mada aendelee kuenjoy maisha ili mradi anajua his life in general imesimama vizuri. Asifall in love tu maana italeta changamoto za kushindwa kubalance mambo ya mchepuko na main family huko mbeleni.
Huku kwetu, kodi ya bei juu 50000. Kwa nyumba[emoji41]Nyumba ya laki 4 huijui ilivyo bibie? Unaishi ulimwengu gani wewe [emoji23]
Wanaume wasio na skills wanatumia pesa kupata matokeo kisha wanajiona mabingwa. Ukitumia hela jua penzi linakuwa la kifurushi tuOgopa mwanamke anayetegemea shimo lake kuishi mkuu. Pia inaonekana hajajitegemea kiuchumi. Akitokea mwingine akamhamishia kwa apartment masaki hauna chako.
Mwanamke Hana upendo Bali anategemea kusaidiwa kimaisha. Na haupo pekee.
Sema ni mentality yako tu. Na hapo wengine wanaenda kumla humohumo ulimpopangishia. Yaani maisha ya me hayana bingwa. Unamnunulia gari nikimpiga full tank, ameisha.ukimfungulia duka nikiwa mteja wake namuachia chenji chenji za soda analiwa.
Nikuulize tu mama yako umeshawahi muhonga Bei gani..
Unakuja kuji proud kweli hapa mtandaoni jamani wanaume tumeisha kabisa.
Ukiwa unatumia gharama kula maku ujue iyo maku sio yako. Wapo wanaoila bila ya kuitolea Mia mbovu trust me niga.
Mwanamke Kama anakuelewa nakuambia anachohitaji ni wewe na sio your materialistic things zako.
Ujue na wao wanapenda Kama sie na wapo tayari kuhonga Kama wewe unavyohonga.
Nilishawahi ishi na nesi moja ivi loji akiwa na likizo yote. Tulitumia hela ikaisha akaanza kuwapiga mizinga wale wote kiherehere wanaomshobokeaga Ila hawataki. Wakawa wanatuma hela tunazitumia.
Ila enjoi bana hela ni zako ni jasho lako hatupangiani matumizi.
Sema nilikuwa nakupa hints za Hawa viumbe.
Umeshaona wanatishia kujinyonga kisa kuachwa ujue hapo wamependa.
😂😂😂 braza natafuta alternator ya engine 4A cjui pa kupataMchanganuo wa 4.8 Milioni kwangu kwa sasa
Injini 2rz- 3.5M
Gearbox 700k
Diffu 600k
Lile daladala langu lingekuwa Jipya.. Anyway tuendeleee kutumia pesa ndiyo matumizi mengine.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Me rijali kabisa unacheka "hehehe" daaaah...! Ama kweli Wanaume tunazidi kuisha [emoji849][emoji26]Hehehe hapa naona kuna watu wa aina mbalimbali
Kuna wale wasio na hela ila wana skill, kuna wenye hela hawana skill na kuna wasio, wenye hela na wasio na skill na wenye hela na skill
Wenye hela na skill wako pembeni wanalike tu comment za upande wowote. Wanaelewa kulingana na lengo lako na mwanamke inabidi utumie karata inayofanya kazi kwake huyo mwanamke
Wenye hela bila skill wanasupport hili swala kwa kuwa ndio njia ambayo imewaletea mafanikio kwao. Silaumu jambo hili, you use whatever tools are effective.
Wenye skill bila pesa wanalalamika kwa kuona ni upotevu wa pesa. Hawa nao nawaelewa kwa kuwa wanaegemea katika skill zao pekee. Kwa bahati mbaya kuna milango skill pekee hazitoshi japo nalo si ishu kwa kuwa huwezi kumpata kila mwanamke hata uwe bilionea na player kama Diamond in one.
Wasio na skill na pesa ndio wanaleta matusi na mada za nje ya suala linaloongelewa. Aidha kutokana na experience mbaya kupambana na mtu mwenye hela katika mapenzi au basi tu kwa kutofurahia linaloendelea. (Kuna wengine pia ambao hawapo katika kundi hili ila nao wanaleta haya masimango)
Kitu cha msingi tu ni mtoa mada aendelee kuenjoy maisha ili mradi anajua his life in general imesimama vizuri. Asifall in love tu maana italeta changamoto za kushindwa kubalance mambo ya mchepuko na main family huko mbeleni.
Kwahyo ndugu we upo kwenye kundi gan hapo[emoji39]Hehehe hapa naona kuna watu wa aina mbalimbali

Hahaha mkuu kuamka kwa violence kama hivi si salama kwa mental health yako. Haya enjoy uanaume wako 🤣🤣Me rijali kabisa unacheka "hehehe" daaaah...! Ama kweli Wanaume tunazidi kuisha [emoji849][emoji26]
Mimi niko kwenye upande wa kula kwa urefu wa kamba yangu kipesa na skill. Unfortunately kama nilivyosema hapo juu kuna milango utaingia kwa skill na kuna milango utaingia kwa pesa. Na mara nyingine utahitaji both.Kwahyo ndugu we upo kwenye kundi gan hapo[emoji39]
M naenjoy comment za wajuba tu hapa[emoji2956]
lakn kiukweli kwa mwanamke mwenye akili anaejua kabsa ana date na mme wamtu, alafu agusii swala la kurasimishwa kua nyumba ndogo au ata mtoto, n kwamba we n ktega uchum chake,.
akijitingisha akaona ayumbi[emoji3] lipu umelipuliwa[emoji847][emoji1787]
Kama atakua analijua hilo na amesha frame namna ya kulikabili[emoji39] wala sina hiana[emoji6] tumia pesa ikuzoee..
Ila Kama anaenda enda kwamba my wangu, nakupenda sana bila ww siwez kupumua[emoji3] wewee mi simo[emoji41]
Ok m nipo kwenye hilo kund la wasio na hela wala skill, sasa sijui unanisaidiaje hasa hilo la hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wenzangu wazalendo sana
Mi kumnunulia tu wali maharage huwa mpaka nishikiwe kisu ndo ije kodi hapana
Usijari unaweza kuwa unawaita shem huku unawala tena ww ukawa unapewa zaid ya yule anayeitwa sweetheartDah, kweli maisha hayako fair! Mim natafuta mtaji million moja pekee! Mwanaume mwenzangu anahonga kodi 4 millions. Wacha niendelee kuwaita shem!
Ogopa mwanamke anayetegemea shimo lake kuishi mkuu. Pia inaonekana hajajitegemea kiuchumi. Akitokea mwingine akamhamishia kwa apartment masaki hauna chako.