Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Nilikua nikipata shida sana na moja ya mchepuko wangu uliokua ukikaa sana mbali. Chukulia mfano tegeta na mbagala.

Ilinipa wakati mgumu sana kwa maana Kuna muda nachelewa kurudi home alafu nakosa sababu za msingi.

Option iliyobakia ilikua ni kumhamishia viunga vya karibu, sio karibu kihivyo. Chukulia mfano Knyama na sinza.

Alinieleza hana pesa ya Kodi Ila amepanta sehemu nzuri na iko private. Kodi laki 4, na mwenyewe anataka mwaka.

Bila hiyana nikaazama mfukoni na nikalipa ili niendelee kula utamu. Ni utamu kweli, huwa sinaga kabisa mazoea na pisi mbovu.

Bila kugharamia hawa Watoto wazuri utaishia kula kwa macho tu. Vizuri gharama.

Baada ya kumhamishia karibu, Sasa hivi mapenzi yameongezeka sana
Kizuri kula na wenzako, we unalipa kodi wenzako wanakula bure
 
Hii laana unayotafuta kwa mkeo na watoto utakuja kupigwa tukio na huyo malaya wala hautokaa uamini.
Kanijibu nitulie nyumbani nilee watoto [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kalaana hakata mwacha kamwe
 
Utakuta familia yako inajua hauna pesa dhambi gharama sana
Hatari Sana .hajawahi mpatia mke wake hata milioni moja akafanye shopping kwa kile anachojisikia.

Kama wewe ni mwanaume jitahidi umpe wife hela twice ya iyo michepuko wako..mpe 10m mkewe afanye chochote anachojisikia. Bado utakuwa unapigwa mzinga Mara gesi,Mara mchele haupo ndani,Mara naumwa. Na kutmba ni sawa tu na kula chakula tumbo linasahau haraka kuwa umekula Nini dakika tano zilizopita.
Cheki na uzeeni mwako usije ukajutia.
 
Nilikua nikipata shida sana na moja ya mchepuko wangu uliokua ukikaa sana mbali. Chukulia mfano tegeta na mbagala.

Ilinipa wakati mgumu sana kwa maana Kuna muda nachelewa kurudi home alafu nakosa sababu za msingi.

Option iliyobakia ilikua ni kumhamishia viunga vya karibu, sio karibu kihivyo. Chukulia mfano Knyama na sinza.

Alinieleza hana pesa ya Kodi Ila amepanta sehemu nzuri na iko private. Kodi laki 4, na mwenyewe anataka mwaka.

Bila hiyana nikaazama mfukoni na nikalipa ili niendelee kula utamu. Ni utamu kweli, huwa sinaga kabisa mazoea na pisi mbovu.

Bila kugharamia hawa Watoto wazuri utaishia kula kwa macho tu. Vizuri gharama.

Baada ya kumhamishia karibu, Sasa hivi mapenzi yameongezeka sana
Sasa unataka ushauri au tukupigie makofi, kwani haya si ni maamuzi yako mwenyewe ya kifala? Yaani mtu unapoteza karibia milion 5 kugharamia mchepuko?
 
Mm sijawai kumlipia manzi chumba Wala kageto tu na Bado nawal pisi Kali tu na mm
Nyie walipieni s amlali Mara kwa Mara mle tutawasadia kuwalinda pindi mrudipo kwa wake zenu ss tuatitwa kwenda kupeleka fire

Note
Wakat fln mwak 2020 nilikuwa nashare demu na mtu mmoja kigog wa serekalini mpka alivyokuja tumbuliwa ila Bado Yuko vzr ingawa pia demu Niko nae mbalii kwa sas ila najipigia popote
Nilisha mla had kweny hgari yake piga Sana tu
Hongera sana mkuu[emoji846]
 
Back
Top Bottom