Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
MbagalaUnataka sanamu lako lijengwe wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MbagalaUnataka sanamu lako lijengwe wapi?
Ukirudi kwako wahuni wanajipigia bureNilikua nikipata shida sana na moja ya mchepuko wangu uliokua ukikaa sana mbali. Chukulia mfano tegeta na mbagala.
Ilinipa wakati mgumu sana kwa maana Kuna muda nachelewa kurudi home alafu nakosa sababu za msingi.
Option iliyobakia ilikua ni kumhamishia viunga vya karibu, sio karibu kihivyo. Chukulia mfano Knyama na sinza.
Alinieleza hana pesa ya Kodi Ila amepanta sehemu nzuri na iko private. Kodi laki 4, na mwenyewe anataka mwaka.
Bila hiyana nikaazama mfukoni na nikalipa ili niendelee kula utamu. Ni utamu kweli, huwa sinaga kabisa mazoea na pisi mbovu.
Bila kugharamia hawa Watoto wazuri utaishia kula kwa macho tu. Vizuri gharama.
Baada ya kumhamishia karibu, Sasa hivi mapenzi yameongezeka sana
SawaMbagala
Sasa mdada kakosa nini jamani jamaa yake si kaamua mwenyewe kutoa hiyo pesa sidhan kama kalazimishwaHii kama sio Chai,Nyie wadada Mbinguni Mtapasikia tu kwa mnvyomfanya mtoto wa Mwanamke mwenzenu!
Hongera!!! Subiri akuzalie, hapo itapendeza zaidiNilikua nikipata shida sana na moja ya mchepuko wangu uliokua ukikaa sana mbali. Chukulia mfano tegeta na mbagala.
Ilinipa wakati mgumu sana kwa maana Kuna muda nachelewa kurudi home alafu nakosa sababu za msingi.
Option iliyobakia ilikua ni kumhamishia viunga vya karibu, sio karibu kihivyo. Chukulia mfano Knyama na sinza.
Alinieleza hana pesa ya Kodi Ila amepanta sehemu nzuri na iko private. Kodi laki 4, na mwenyewe anataka mwaka.
Bila hiyana nikaazama mfukoni na nikalipa ili niendelee kula utamu. Ni utamu kweli, huwa sinaga kabisa mazoea na pisi mbovu.
Bila kugharamia hawa Watoto wazuri utaishia kula kwa macho tu. Vizuri gharama.
Baada ya kumhamishia karibu, Sasa hivi mapenzi yameongezeka sana
Nimecheka kwa sati😁😁😁😁😁Unataka sanamu lako lijengwe wapi?
Umeona eeehhhh!!!😁😁😁😁😁😁Aiseee kuna wanawake wanajua kuchuna daah
Dunia ilimfunza.Kuna njemba ilimnunulia mchepuko nyumba. Alipofukuzwa kazi walihamia kwenye vyumba viwili vya kupanga yeye na mke wake.
Juma Farhan
Mungu aturehemu.Sikulaumu mkuu ila nakuonea huruma sababu huenda huyo dada amekumezesha chip kutoka kwa wale waganga.So unaweza ukawa unaendeshwa kwa remote bila wewe kujua (artificial intelligence)Nilikua nikipata shida sana na moja ya mchepuko wangu uliokua ukikaa sana mbali. Chukulia mfano tegeta na mbagala.