Nilikua nikipata shida sana na moja ya mchepuko wangu uliokua ukikaa sana mbali. Chukulia mfano Tegeta na Mbagala. Ilinipa wakati mgumu sana kwa maana kuna muda nachelewa kurudi home alafu nakosa sababu za msingi.
Option iliyobakia ilikua ni kumhamishia viunga vya karibu, sio karibu kihivyo. Chukulia mfano K/Nyama na Sinza. Alinieleza hana pesa ya Kodi Ila amepanta sehemu nzuri na iko private. Kodi laki 4, na mwenyewe anataka mwaka.
Bila hiyana nikaazama mfukoni na nikalipa ili niendelee kula utamu. Ni utamu kweli, huwa sinaga kabisa mazoea na pisi mbovu. Bila kugharamia hawa Watoto wazuri utaishia kula kwa macho tu. Vizuri gharama.
Baada ya kumhamishia karibu, sasa hivi mapenzi yameongezeka sana