Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Tumia pesa hiyo kumpendezesha mkeo!! Unatumia pesa kumtengeneza mwanamke wa nje na unamsahau mkeo
 
Unadhani kila mtu anaoenda kuishi stoo chief?[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana. Ila angekuja jamaa yako au mshkaji akuombe hata elfu 50 ya kutatua changamoto inayomkabili, utampa saundi za maisha magumu aisee hela haikai.
Mwanaume unataka kusaidiwa? Acheni kulalamika
 
my first principle ambayo imenisaidia sana kabla sijahonga huwa napiga nyeto mara 3...baada ya hapo kama ilo wazo la kuhonga litaendelea kunisumbua hapo nitarudia tena kupiga nyeto mara 2 kisha ndio nahonga...
 
Unakuta mwenzio anaingia anakula bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…