Nimemmiss sana, Hayati John Pombe Magufuli

Mfuate huko aliko, kama umem-misss
 
Nimekutana na watu wa Rwanda, Kenya, Ghana na Ivory Coast wanamfahamu jamaa kama Bulldozer.

Naendelea kutembea tembea kuona watu wengine wanaomkumbuka pia.
 
Nimekutana na watu wa Rwanda, Kenya, Ghana na Ivory Coast wanamfahamu jamaa kama Bulldozer.

Naendelea kutembea tembea kuona watu wengine wanaomkumbuka pia.
Mwamba alikua vizuri sana mimi nilikua nauzia ngozi za ngombe watu wa togo.. aise walikua wanampata vizuri nilishangaa sana akati mimi simjui hata raisi mmoja wa togo mpaka leo hii
 
Hapana arudi huku ndio kunamfaa 🥹🥹
Hahah.. alikuwa anahitajika sana kuliko wakati wowote.

Na ukitembea nchi zetu za Afrika ndio utafahamu kuwa Afrika ipo nyuma sana na hatua ambazo tulikuwa tunapiga wakati huo zilikuwa ni kubwa mno.

Afrika ina matatizo makubwa sana ya miundombinu na viongozi wapo tu hakuna hatua madhubuti wanazochukua.
 
Kabisa kabisa mkuu upo sahihi
 
Hivi haiwezekani kabisa CHUMA kikarudi??
Nimemmiss sana daddie alikuwa mwamba kweri kweri 🥹🥹
Hapa nimeangalia clip zake nimeishia kusikitika
Chuma kwakweli tulikipata chuma chuman mimi mzee nimeweka picha yake kubwa sana seblen kwangu
 
Kama ni kweli, mbona usimfuate aliko?
 
Mfuate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…