Nimemmiss sana, Hayati John Pombe Magufuli

Sio siri amna kipindi nilifurahia kuwa mtanzania kama kipindi raisi Magufuli akiwa Rais wetu.

Kwa sasa sioni furaha kabisa na taifa langu. Sina Imani na viongozi wangu hata mmoja labda tu Makonda angalau ananionyesha anaujali sana utaifa wetu.

Huu ni mda wakuwapa vijana fursa hawa wazee hawana huruma maana wengi wao watoto wao wapo nje wanakula good time kwenye snow.

Namkumbuka sana Rais Magufuli kweli nilianza kubadilika kama kijana kutoka kwenye kupenda miziki mpaka kupenda kuangalia taarifa ya habari maana raisi Magufuli alinivutia sana utendaji kazi wake. Hakukubali kabisa ujinga ukatize mbele ya macho yake. Alikemea ujinga. Alisafisha madunya wote serikalini.

Leo hii sioni raha kabisa yakuangalia taarifa ya habari.

Nimemkumbuka sana hayati John Pombe Magufuli. He was a best president we should have.

Mungu akubariki sana uko ulipo i hope ule msemo wako kuwa "Mbinguni pia Mungu atakupa kazi yakuongoza Malaika"
Kweli Magufuli alikua MTAWALA.

hakupepesa macho, aliongea kilicho nyooka. Tulianza adi kumuona kwenye magazeti ya ma capitalist huko walianza kumjadili kimya kimya.

Raisi Magufuli alikua legend.

Najua wengi wetu now mnajiuliza magufuli aliwezaje kukusanya kodi vizuri kwa watu wote, yule mzee nilimuelewa sana yaani, najua matajiri aliwasumbua sana kwenye kodi maana TRA Walikua wanasubiria milangoni yaani ukitoka bila risiti aise mwenye huduma anakizai zai.

Yapo mengi mazuri aliyofanya. Japo mabaya yapo ila ayazidi hata nusu ya mazuri yaliyo mengi.

Binafsi mimi nilikuwa adi naambiwa na marafiki zangu wa ujerumani kwamba "what is Magufuli?" Mimi nilikua nawajibu ni kofuli dume linaloongoza nchi. Nilikua nafurahi sana alitufanya tukaonekana watu na sisi sio manyani wakwanza kuanza kudevelope.

Magufuli alikua hitaji la watanzania, Magufuli alikua true Baba wa taifa mkuu.

Najua wengi mtasema vijana wengi tunapenda uongozi wa kidikteta lakini magufuli hakuwa dikteta kwangu, alikua mtu anafwatilia. Na nchini kwetu ukiwa mfwatiliaji utayumbishwa sana maana tuna majitu mavivu sana yanatuongoza yanayotumumunya yakimaliza yanatukimbia kwenda zao kuishi ughaibuni.

Sishangai maana wengi wao sio quality zinawapa cheo. Na pia sio kama nina wivu nao hapana maana pongezi ni kwa baba na mama zao waliopata kweli kwa kuonyesha umaridadi wao kulitumikia nchi.

Mpaka mpira yaani naisi kipindi cha magufuli kukifanyika chaguzi na mapinduzi sahihi kimpira hata tukampata eng. Hels yanga pale.
Huwenda magufuli angekua basi kile kipindi yangu tungechukua kombe la kimataifa.

Magufuli ni mtu na nitamkumbuka sana sana sanaaaa.

Nilikua nafuraha sana maana biashara tukiruhusiwa pia kufanya popote cha msingi tu nizingatie sheria now hata kuwa machinga nchini kwangu ni hofu kubwa maana tunalazimishwa kukaa sehemu moja wamachinga wote wenye biashara zinazofanana. Hii hupelekea ata watu kuwaza ujinga na kutaka kulogana.

Magufuli nitakukumbuka mpaka ubadhirifu utakapokuja kumalizwa na mtu mwingine mwenye caliber ya Magufuli..

Mpaka wenzetu kenya walianza kuinama kwa magufuli walitamani awe raisi wao pia embu imagine jembe tulilokuwa nalo.

Ifike maali vijana tuangalie maana vijana wengi walio zaliwa miaka ya 1900 ni mazuzu sana. Sasa naomba sisi wa 2000's tusijekuwa kama hawa mazee ya 1900 ambayo hata kupambania haki zao hawawezi kabisa. Tusikubali kabisa kuwa kama majitu ya 1900's.

Mtu aliekuwa sahihi kuzaliwa miaka ya 1900's ni Magufuli tuu hao wengine ni wajaza dunia sana.

Enough now
Mfuate huko aliko, kama umem-misss
 
Nimekutana na watu wa Rwanda, Kenya, Ghana na Ivory Coast wanamfahamu jamaa kama Bulldozer.

Naendelea kutembea tembea kuona watu wengine wanaomkumbuka pia.
 
Mwamba alikua vizuri sana mimi nilikua nauzia ngozi za ngombe watu wa togo.. aise walikua wanampata vizuri nilishangaa sana akati mimi simjui hata raisi mmoja wa togo mpaka leo hii
 
Hapana arudi huku ndio kunamfaa 🥹🥹
Hahah.. alikuwa anahitajika sana kuliko wakati wowote.

Na ukitembea nchi zetu za Afrika ndio utafahamu kuwa Afrika ipo nyuma sana na hatua ambazo tulikuwa tunapiga wakati huo zilikuwa ni kubwa mno.

Afrika ina matatizo makubwa sana ya miundombinu na viongozi wapo tu hakuna hatua madhubuti wanazochukua.
 
Kabisa kabisa mkuu upo sahihi
 
Hivi haiwezekani kabisa CHUMA kikarudi??
Nimemmiss sana daddie alikuwa mwamba kweri kweri 🥹🥹
Hapa nimeangalia clip zake nimeishia kusikitika
Chuma kwakweli tulikipata chuma chuman mimi mzee nimeweka picha yake kubwa sana seblen kwangu
 
Sio siri amna kipindi nilifurahia kuwa mtanzania kama kipindi raisi Magufuli akiwa Rais wetu.

Kwa sasa sioni furaha kabisa na taifa langu. Sina Imani na viongozi wangu hata mmoja labda tu Makonda angalau ananionyesha anaujali sana utaifa wetu.

Huu ni mda wakuwapa vijana fursa hawa wazee hawana huruma maana wengi wao watoto wao wapo nje wanakula good time kwenye snow.

Namkumbuka sana Rais Magufuli kweli nilianza kubadilika kama kijana kutoka kwenye kupenda miziki mpaka kupenda kuangalia taarifa ya habari maana raisi Magufuli alinivutia sana utendaji kazi wake. Hakukubali kabisa ujinga ukatize mbele ya macho yake. Alikemea ujinga. Alisafisha madunya wote serikalini.

Leo hii sioni raha kabisa yakuangalia taarifa ya habari.

Nimemkumbuka sana hayati John Pombe Magufuli. He was a best president we should have.

Mungu akubariki sana uko ulipo i hope ule msemo wako kuwa "Mbinguni pia Mungu atakupa kazi yakuongoza Malaika"
Kweli Magufuli alikua MTAWALA.

hakupepesa macho, aliongea kilicho nyooka. Tulianza adi kumuona kwenye magazeti ya ma capitalist huko walianza kumjadili kimya kimya.

Raisi Magufuli alikua legend.

Najua wengi wetu now mnajiuliza magufuli aliwezaje kukusanya kodi vizuri kwa watu wote, yule mzee nilimuelewa sana yaani, najua matajiri aliwasumbua sana kwenye kodi maana TRA Walikua wanasubiria milangoni yaani ukitoka bila risiti aise mwenye huduma anakizai zai.

Yapo mengi mazuri aliyofanya. Japo mabaya yapo ila ayazidi hata nusu ya mazuri yaliyo mengi.

Binafsi mimi nilikuwa adi naambiwa na marafiki zangu wa ujerumani kwamba "what is Magufuli?" Mimi nilikua nawajibu ni kofuli dume linaloongoza nchi. Nilikua nafurahi sana alitufanya tukaonekana watu na sisi sio manyani wakwanza kuanza kudevelope.

Magufuli alikua hitaji la watanzania, Magufuli alikua true Baba wa taifa mkuu.

Najua wengi mtasema vijana wengi tunapenda uongozi wa kidikteta lakini magufuli hakuwa dikteta kwangu, alikua mtu anafwatilia. Na nchini kwetu ukiwa mfwatiliaji utayumbishwa sana maana tuna majitu mavivu sana yanatuongoza yanayotumumunya yakimaliza yanatukimbia kwenda zao kuishi ughaibuni.

Sishangai maana wengi wao sio quality zinawapa cheo. Na pia sio kama nina wivu nao hapana maana pongezi ni kwa baba na mama zao waliopata kweli kwa kuonyesha umaridadi wao kulitumikia nchi.

Mpaka mpira yaani naisi kipindi cha magufuli kukifanyika chaguzi na mapinduzi sahihi kimpira hata tukampata eng. Hels yanga pale.
Huwenda magufuli angekua basi kile kipindi yangu tungechukua kombe la kimataifa.

Magufuli ni mtu na nitamkumbuka sana sana sanaaaa.

Nilikua nafuraha sana maana biashara tukiruhusiwa pia kufanya popote cha msingi tu nizingatie sheria now hata kuwa machinga nchini kwangu ni hofu kubwa maana tunalazimishwa kukaa sehemu moja wamachinga wote wenye biashara zinazofanana. Hii hupelekea ata watu kuwaza ujinga na kutaka kulogana.

Magufuli nitakukumbuka mpaka ubadhirifu utakapokuja kumalizwa na mtu mwingine mwenye caliber ya Magufuli..

Mpaka wenzetu kenya walianza kuinama kwa magufuli walitamani awe raisi wao pia embu imagine jembe tulilokuwa nalo.

Ifike maali vijana tuangalie maana vijana wengi walio zaliwa miaka ya 1900 ni mazuzu sana. Sasa naomba sisi wa 2000's tusijekuwa kama hawa mazee ya 1900 ambayo hata kupambania haki zao hawawezi kabisa. Tusikubali kabisa kuwa kama majitu ya 1900's.

Mtu aliekuwa sahihi kuzaliwa miaka ya 1900's ni Magufuli tuu hao wengine ni wajaza dunia sana.

Enough now
Kama ni kweli, mbona usimfuate aliko?
 
Mfuate
 
Back
Top Bottom