Nimempa mimba mke wa mtu lakini mumewe yuko mbali kikazi

Mkuu si mzee alisema tufyatue
Mpaka utakapoweza kuvaa viatu vya uhusika ndio utajua unachokifanya kina impact gani!

Labda iwe ni story tu ya kuchangamsha kijiwe. Ila kama ni kweli sio sawa na haki kabisa. Gentleman hawafanyi hivyo...hivi huyo mume wake si itakuwa unamuona fala tu? Unadhani utaweza kujisamehe hiyo dhambi? Itakutafuna milele..na it will hunt you big time!

Tujifunze kuheshimu mahusiano ya watu..hasa ndoa. Ndoa imeunganishwa na Mungu..wewe binadamu una ubavu gani wa kuingilia kati na kuiboa? Laana za kujitafutia hizo.
 
Fanya kuiroga mimba isikue mpaka mumewe atakaporudi akapiga show ndipo uruhusu ianze kukua...
 
mmewe mgeuze msukule umuhamishie gamboshi,


akiketa za kuletwa mle nyama
 
Rekebisha kiswahili hapa:

Mkuu *huwezi kumpa mimba mwanamke*, ila anapata ujauzito. Unaposema hivyo inamaanisha kua wewe unauwezo wa kubeba huo ujauzoto lakini ukampatie yeye aubebe. Na kibaiolojia, wewe hutoi mimba, ila uantoa mbegu. Yeye ana mayai, kwa pamoja ndio vinategeneza mtoto.
 
Umeshamtomba mara ngapi mpaka usishitukie kama ameolewa hujawahi hata kutaka kumtembelea kwake
 
Msubiri mumewe arudi umeambie kuwa umemsaidia kumpandia mbegu, mwanaume mashine bwana!
 
Kwakua mme wake yupo mbali muache azae mtoto akikua kidogo unamchukua afu yeye anakaa kumgoja jamaa yake wala hawezi jua kama amezaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…