Nimempa mimba mke wa mtu lakini mumewe yuko mbali kikazi

Nimempa mimba mke wa mtu lakini mumewe yuko mbali kikazi

Mkuu si mzee alisema tufyatue
Mpaka utakapoweza kuvaa viatu vya uhusika ndio utajua unachokifanya kina impact gani!

Labda iwe ni story tu ya kuchangamsha kijiwe. Ila kama ni kweli sio sawa na haki kabisa. Gentleman hawafanyi hivyo...hivi huyo mume wake si itakuwa unamuona fala tu? Unadhani utaweza kujisamehe hiyo dhambi? Itakutafuna milele..na it will hunt you big time!

Tujifunze kuheshimu mahusiano ya watu..hasa ndoa. Ndoa imeunganishwa na Mungu..wewe binadamu una ubavu gani wa kuingilia kati na kuiboa? Laana za kujitafutia hizo.
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu


Nilianza mazoea na mdogo mdogo na huyu dada ambaye sikujua kama kaoelewa au laa,


Kumbe kuna baadh ya watu walikuwa wananionea huruma sana kwa ukaribu wangu na yule dada, wakijiuliza na wasipate majibu ya kwamba kwanini niko penzin na mke wa mtu tena bila kificho

Kwakweli mimi yule dada nilimuuliza kuhusu kama ana mme lakin alikataa na kudai hana mme


Alikuwa ana kuja kufua nguo zangu na kufanya usafi gheto kama kawaida then napiga show la kufa mtu anaenda zake


Sasa juz kaja kunambia et ana mimba yangu sasa mimi huwaga sikatai mimba maana had muda huu nina watoto kama 7 wote wa kuchapa mimba sehemu tofaut tofaut, baada ya kunambia hivyo nikamwambia hakuna shida zaa tu wangu


Leo kanitumia msg kanambia hajui atakuja kumwambia nini mme wake, nikamuuliza kwan una mme akasema ndiyo nina mume sema sikukwambia aisee nimechoka mwenyewe wadau

Nimemwambia mama mmoja hapa kanambia alikuwaga ananishangaa na kunihurumia sana kutembea na mke wa mtu, lakin mimi nimemwambia nilikuwaga sijui jaman


Kanihurumia sana na kanipa pole nyingi sana


Ninalo mwaka huu wazee

Naomben ushaur wenu wadau nifanyeje


LONDON BABY
Fanya kuiroga mimba isikue mpaka mumewe atakaporudi akapiga show ndipo uruhusu ianze kukua...
 
mmewe mgeuze msukule umuhamishie gamboshi,


akiketa za kuletwa mle nyama
 
Rekebisha kiswahili hapa:

Mkuu *huwezi kumpa mimba mwanamke*, ila anapata ujauzito. Unaposema hivyo inamaanisha kua wewe unauwezo wa kubeba huo ujauzoto lakini ukampatie yeye aubebe. Na kibaiolojia, wewe hutoi mimba, ila uantoa mbegu. Yeye ana mayai, kwa pamoja ndio vinategeneza mtoto.
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Nilianza mazoea na mdogo mdogo na huyu dada ambaye sikujua kama kaoelewa au laa, kumbe kuna baadhi ya watu walikuwa wananionea huruma sana kwa ukaribu wangu na yule dada, wakijiuliza na wasipate majibu ya kwamba kwanini niko penzini na mke wa mtu tena bila kificho.

Kwakweli mimi yule dada nilimuuliza kuhusu kama ana mume lakini alikataa na kudai hana mume

Alikuwa ana kuja kufua nguo zangu na kufanya usafi gheto kama kawaida then napiga show la kufa mtu anaenda zake.

Sasa juzi kaja kunambia eti ana mimba yangu sasa mimi huwaga sikatai mimba maana hadi muda huu nina watoto kama 7 wote wa kuchapa mimba sehemu tofauti tofauti, baada ya kunambia hivyo nikamwambia hakuna shida zaa tu wangu.

Leo kanitumia SMS kaniambia hajui atakuja kumwambia nini mume wake, nikamuuliza kwani una mume akasema ndiyo nina mume sema sikukwambia aisee nimechoka mwenyewe wadau.

Nimemwambia mama mmoja hapa kanambia alikuwaga ananishangaa na kunihurumia sana kutembea na mke wa mtu, lakini mimi nimemwambia nilikuwa sijui jamani.


Kanihurumia sana na kanipa pole nyingi sana.

Ninalo mwaka huu wazee.

Naombeni ushauri wenu wadau nifanyeje.


LONDON BABY
Umeshamtomba mara ngapi mpaka usishitukie kama ameolewa hujawahi hata kutaka kumtembelea kwake
 
Msubiri mumewe arudi umeambie kuwa umemsaidia kumpandia mbegu, mwanaume mashine bwana!
 
Kwakua mme wake yupo mbali muache azae mtoto akikua kidogo unamchukua afu yeye anakaa kumgoja jamaa yake wala hawezi jua kama amezaa
 
Back
Top Bottom