Nimempa mimba mwanamke asiye mke wangu

Nimempa mimba mwanamke asiye mke wangu

Kichochoro

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
1,135
Reaction score
1,167
Habar wanajukwaa,

Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua.

Mwezi june alinijuza kwamba anahisi kama ana ujauzito na mimi nilimuomba sana ajitahid kupima na kweli alipima alikuta tayari anaujauzito hapa nina wiki mbili nimechanganyikiwa kabisa Maana najiuliza vipi mke wangu akijua kwamba nilifanya hivyo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].

Naombeni ushauri wenu najiona si chochote Mimi hapa dunian sikutegemea kama itatotekea hivyo maana mwanamke huyo alikuwa anatumia sindano kwa hiyo tumekuwa tukilana tu bila wasiwasi nimehakiki kweli ama mimba na nimemwambia kutoa hataki kabisa hzo habari ndg zangu nifanyaje Mimi nimechanganyikiwa kabsa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Vipi ametoa hyo mimba?
Jifunze kutembea na raphy rider haina tofauti na kupiga kavu, ulianza kuzaa nje ni mwanzo wa majuto na kuteseka for the rest of your life
Niliitoa ila ki mission zaidi
 
Ungejua mkeo alivyokuwa anahondomolwa pindi unaposafiri na mchepuko wako wala usingejutia, ila ukishakuja kujua ukweli utapata MAUMIVU Mara 100.
Eee mke wake alikua anafanywa matusi kiustadi na vijana wa mtaani kwake..aise
 
Back
Top Bottom