Nimempa mimba mwanamke asiye mke wangu

Nimempa mimba mwanamke asiye mke wangu

Uliamua kumtongoza na kuanzisha mahusiano

Ukawa unamwaga ndani

Sasa hivi unaogopa unaogopa nini?

Ukipanda mchicha unavuna mchicha......

Ukipanda manii unavuna mtoto !!!!

Jiandae

1. Kulea

2. Kuharibu ndoa yako....hata kama mkeo hatakuacha ila damage inakuwa tayari ishafanyika.......
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nan kaniroga nadhani hizi mada hazina uhalisia .ni za kutunga na hii sio fair..maana mtu anaweza kujikunja na kukushauri kumbe ni fiction

Kumbe jamaa anatuuzia chai hapa bila sukari!!
 
Habar wanajukwaa,

Mimi ni baba wa MKE mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua.
Mbona hukuomba ushauri siku ya kulala nae,mbona hukuomba ushauri kwamba utumie kinga au uende kavu ,...
 
Babuuu, unajuachia kwa mchepuko? Mambo mengine kujitakia, hao wakishakuwa na miplan yao usipokuwa mjanja huchomoki.
 
Habar wanajukwaa,

Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua.
Uhamishiwe tu
JamiiForums-472479495.jpg
 
Habar wanajukwaa,

Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua.

Mwezi june alinijuza kwamba anahisi kama ana ujauzito na mimi nilimuomba sana ajitahid kupima na kweli alipima alikuta tayari anaujauzito hapa nina wiki mbili nimechanganyikiwa kabisa Maana najiuliza vipi mke wangu akijua kwamba nilifanya hivyo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].

Naombeni ushauri wenu najiona si chochote Mimi hapa dunian sikutegemea kama itatotekea hivyo maana mwanamke huyo alikuwa anatumia sindano kwa hiyo tumekuwa tukilana tu bila wasiwasi nimehakiki kweli ama mimba na nimemwambia kutoa hataki kabisa hzo habari ndg zangu nifanyaje Mimi nimechanganyikiwa kabsa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwani hukujua matokeo yake? No protection, na hali hii ya sasa ya dunia? Pambana na hali yako. Mhudumie mpaka ajifungue salama. Watoto hawana makosa
 
Duh, pole sana je huyo mwanamke Hana mtoto? Ni mke wa mtu au Ni free tu? Toa majawabu tukusaidie ushauri zaidi
 
Inabidi ukubaliane na hali usije ukaua kiumbe kisichokuwa na hatia, hicho kiumbe kinahitaji kuona mwanga kama wewe Mama yako alivyokuleta duniani na unaona mwanga.
 
Pole sana mkuu, kila jambo lina matokeo yake, hata ufiche vipi mkeo atakuja kijua tu na hapo ndipo vita itakapoanza, cha msingi anza kumuandaa kisaikolojia mkeo ili siku akijua asipate mstuko mkubwa.
 
Pole sana mkuu, kila jambo lina matokeo yake, hata ufiche vipi mkeo atakuja kijua tu na hapo ndipo vita itakapoanza, cha msingi anza kumuandaa kisaikolojia mkeo ili siku akijua asipate mstuko mkubwa.
Kweli aiseee
 
kwa kawaida mwanaume kamili ni lazima ulete mwenyewe kesi nyumbani
 
Habar wanajukwaa,

Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua.
Sio. Jambo la ajabu,usipunguze makali ya dhambi,sema nimefanya uzinzi,nimezini,na mzinifu mwenzangu kapata mimba,hapo utaona "the extent of ur transgression"
 
Back
Top Bottom