AL AM
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 252
- 300
MIMI SIREMBI MWANDIKO KWENYE MASWALI LAINI.Habar wanajukwaa,
Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua.
Wewe mtu mzima NA akili zako ukiwa unamke unasemaje hukujua itatokea hivyo?
Ulikosa nini kwa mkeo kama sio ujinga wenu NA mchepushwaji wako.
Sasa pindi mnadanganyana mlitumia akili sana kuficha,Mungu hajapendezwa kwa akili hiyo hiyo ficha NA mimba ukishindwa ujue wakati wa pembe za ng'ombe kutokeza ndo ushafika.
Nasema wewe mjinga sio kwa ubaya kwani suala la mimba ni uhakika.
Naomba mimba msitoe mkeo ajue upuuzi wako NA huyo mwenzi wako awe single mother tu mkeo abaki mkeo maana ujinga huo haukuwa NA sababu za msingi zaidi YA kukulana.
Kwa hiyo lea ukiweza oa wala usichanganyikiwe.
Ilipaswa kabla YA kuwa NA mchepuko uchanganyikiwe kwa kufikiri madhara wewe unachanganyikiwa wakati ushaharibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]