BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Kumbe jamaa anatuuzia chai hapa bila sukari!!Nan kaniroga nadhani hizi mada hazina uhalisia .ni za kutunga na hii sio fair..maana mtu anaweza kujikunja na kukushauri kumbe ni fiction
Wanawake si watu wakuaminika. Najuta
Wakuu naleta huu Uzi si kwamba kutaka nionekane vipi ila nataka tujifunze kitu! Ilikuwa mwaka 2017 nilikutana dada mmoja jina nalihifadhi nilianzisha uhusiano naye kwa kipindi cha miezi kadhaa na baada ya hapo aliniambia anaujauzito wangu na mimi kwa kuwa nilikula nikilala naye sikuweza...www.jamiiforums.com
Mbona hukuomba ushauri siku ya kulala nae,mbona hukuomba ushauri kwamba utumie kinga au uende kavu ,...Habar wanajukwaa,
Mimi ni baba wa MKE mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua.
Bestiiiiii.Yalinikuta mimi nikaapa kuitoa nilichokifanya ukikitaka nitakufundisha
Uhamishiwe tuHabar wanajukwaa,
Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua.
[emoji23]Weka fire extinguisher chumbani kwako zakutosha
Kwani hukujua matokeo yake? No protection, na hali hii ya sasa ya dunia? Pambana na hali yako. Mhudumie mpaka ajifungue salama. Watoto hawana makosaHabar wanajukwaa,
Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua.
Mwezi june alinijuza kwamba anahisi kama ana ujauzito na mimi nilimuomba sana ajitahid kupima na kweli alipima alikuta tayari anaujauzito hapa nina wiki mbili nimechanganyikiwa kabisa Maana najiuliza vipi mke wangu akijua kwamba nilifanya hivyo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Naombeni ushauri wenu najiona si chochote Mimi hapa dunian sikutegemea kama itatotekea hivyo maana mwanamke huyo alikuwa anatumia sindano kwa hiyo tumekuwa tukilana tu bila wasiwasi nimehakiki kweli ama mimba na nimemwambia kutoa hataki kabisa hzo habari ndg zangu nifanyaje Mimi nimechanganyikiwa kabsa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nan kaniroga aliyekulogaHabar wanajukwaa,
Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan
Free tu siyo MKE wa mtuDuh, pole sana je huyo mwanamke Hana mtoto? Ni mke wa mtu au Ni free tu? Toa majawabu tukusaidie ushauri zaidi
Mkuu usiue na hudumia huyo mtoto. Hana hatia na huwezi jua Mungu kampangia nini. Umeshakosea usikosee zaidi. Ila dah unatoka nje ya ndoa bila ndoms mkuu sio poa!Free tu siyo MKE wa mtu
Kweli aiseeePole sana mkuu, kila jambo lina matokeo yake, hata ufiche vipi mkeo atakuja kijua tu na hapo ndipo vita itakapoanza, cha msingi anza kumuandaa kisaikolojia mkeo ili siku akijua asipate mstuko mkubwa.
Sio. Jambo la ajabu,usipunguze makali ya dhambi,sema nimefanya uzinzi,nimezini,na mzinifu mwenzangu kapata mimba,hapo utaona "the extent of ur transgression"Habar wanajukwaa,
Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua.