Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ayaaaa......sio hivyo ndugu yangu....kwanza habari za Mbabane.....?...unakuja lini huku Yaeda......kale kanyanyi nilichokwambia nitakuchinjia kamekuwa.......
inabidi tuanze kuwapa somo wadada..umekaaa na mwanamke kwa miaka mitano hujatoa posa an tena umempa mimba then unasema humpendi? wtf?
husaidiki na huna msaada bwana wewe usituchanganye hapa jibu unali kichwani lazima umuoe huyo mwanamke ,kama huo ndio msimamo wako,NA NINAKUAMBIA HIVI HUTAKAA UPATE MWANAMKE ATAKAYE KUPENDA KAMA HUYO DADA NA UTAISHIA KUPATA PASUA KICHWA TU MAANA HELA ZIMESHAKUCHANGANYA UNAMWONA HAFAI SASA ,YOU WILL REMEMBER MY WORDS ONE DAY,,,,,,,MWANAMKE ALIYEKUPENDA KWA DHATI UTAISH NAYE KWENYE SHIDA NARAHA ,ILA MWANAMKE ULIYEMPENDA WEWE KWA DHAT UTAISHI NAYE KWENYE RAHA TU SHIDA ATAKUPASUA UBONGO WOTE, SO CHUKUA HIZO AKILI ZAKO CHANGANYA NA ZA MBAYUWAYU .sifikirii kumtelekeza mtoto lakini pia sifikirii kumuoa mama yake mbaya zaidi sihitaji kuwa na watoto wa mama tofauti.
Preta NA KWANINI AMPOTEZEE MUDA 5YRS SIO KITU KIDOGO ANATEGEMEA HUYO DADA AKAOLEWE NA NANI NA MTOTO WAKE AU TU SABABU YYE HANA ANAPOONYESHA AMEZAA AU WANATUTESA SANA HAYA MAJITU Pretalakini jamaa hampendi....raha ya ndoa kupendana.....mapenzi ya kuoneana huruma hayafai....
kaka mwenye thread.....nakushauri fuata moyo wako.....
sifikirii kumtelekeza mtoto lakini pia sifikirii kumuoa mama yake mbaya zaidi sihitaji kuwa na watoto wa mama tofauti.
Siyo mimba tuu. hata stds na hiv piaWhy ulifanya ngono na mtu ambaye humpendi au alikubaka? Pia hukujua kuwa pekupeku yaweza kuleta mimba isiyotarajiwa?? Umempotezea muda huyo dada, nani atakuja kumuoa huyo akiwa na mtoto wako?
habari!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 34, ni mwanafunzi wa Masters katika chuo kimoja hapa nchini. Nimehitimu chuo kikuu UCLAS (kwa sasa Ardhi University) mwaka 2008.Wakati nipo chuoni mwaka wa kwanza nilitokea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi mwenzangu,mahusiano ambayo mwanzoni sikuona kama yangefika mbali kwani hata jinsi yalivyoanza ilikuwa katika mazingira ambayo hakuna hata mmoja wetu aliyetarajia.
Tulihitimu chuo mwaka 2008 bahati nzuri kila mmoja wetu akapata kazi ingawa ni mikoa tofauti. Mara kadhaa nilimwambia umuhimu wa kuachana kwani nilihisi kuwa sitakuwa na furaha katika familia kama tutaoana lakini alipinga na kulia sana akidai kuwa yeye ananipenda sana. Nakumbuka wakati tuko chuoni alitaka hata kuacha chuo kwasababu yangu. Sikuwa tayari kuona hili linatokea hivyo niliendelea na mahusiano naye nikitafuta namna nitakavyoachana naye kwa amani.
Tuliendelea na mahusiano hayo ingawa sikuwa na furaha nayo na bahati mbaya niseme mwezi februari mwaka huu amenambia ana ujauzito wangu. Sifikirii kabisa suala la yeye kutoa mimba kwani kwa umri wangu nataka kuwa na mtoto. Nakumbuka katika mahusiano yetu sikuwahi kuishi naye kama mke wangu mtarajiwa hivyo mambo ninayopenda mke wangu awe nayo na tabia ninazopenda wala sikumuhimiza ayafanye.
Naomba ushauri nifanyeje nimechanganyikiwa, sitaki kuwa na watoto wa mama tofauti tofauti na pia nataka sana mtoto wake azaliwe salama?