Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Mjinga! Acha kutumika taaluma ya ualimu Kama tambara la kufutiq uchafu wako! Itoshe kukuambia hakuna mwalimu mpumbavu wa caliber yako! Mnaudhi mno mnaoidharau hii kada ya ualimu ambayo ndio iliyokumulikia njia ya kutokea kimaisha!
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Kapange halafu mpandishe daraja house girl awe mke!!!!
 
Ila mtoa mada umezingua kutembea na Dada wa Kazi.

Katika vitu sitathubutu kuvifanya ni kulala na Dada wa kazi.

Unasema wewe ulitegwa na huyo HouseGirl, umewahi kujiuliza Mtego aliowahi kupewa Yusuph na Mke wa Mfalme(Kisa cha kwenye Biblia) Imagine Mke wa Mfalme anayejua kuoga vizuri na kutumia manukato alivyo mzuri wa Sura na ngozi laini, Wewe una hangaika na Dada wa kazi ambaye hata kuoga kwenyewe unakuta hajui, je kuosha hiyo Punani anajua kweli 😎.

Wakati mwingine ni vyema kujiwekea standard za Wanawake wa kulala nao, sio kila Mwanamke anafaa kuona Utupu wako.
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Kwenye kuvunja ndoa na kugawana Mali, hawaangalii kosa. Kama ndoa haikarabatiki mnagawana kuangalia michango yenu kwenye hiyo mali.
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Muoe mke wa pili

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Wewe unatakaje? Sema unachotaka ili upewe ushauri
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Hivi unajua kama kuna kivazi kinaitwa CONDOM?
 
Kwani mwamba ulipoanza Kumla huyo house girl ulitushirikisha?
 
Kama mwislamu ongeza mke atakuwa kisheria hizo mahakama upande wa ndowa zipo kwa ajili ya wakristo tuu
 
Ni haki yetu kukulaumu lakini ni wajibu wetu kukushauri ambayo kwako ni haki yako kupokea ushauri.
Mwondosheni house haraka ila tengeneza mazingira ya kutunza mimba ya mtoto ikiwezekana sehemu ya fedha ya matunzo ipitie kwake.

Kisha kuwa mpole na mnyenyekevu (huku ukibembeleza kwa vizawadi lakini pia ongeza mapenzi kwa watoto ikiwa ni pamoja na kuwapa mitoko midogomidogo akishaona watoto wanakupenda wewe zaidi yake anaweza kughairi) kwa muda fulani kisha hali inaweza kurudi
 
Asubuhi yote hii jamani? Mtu unaingia kuangalia habari unakutana na mambo ya watu 😅

Haya mkiendelea kukaa pamoja na mkeo si muda utatuletea uzi wa kataa ndoa humu. Na sisi tutaikataa "kweri kweri" 😅
 
Kampangishie house girl mbali na hapo nyumbani na mnunulie simu mpya,na hakikisha hiyo namba mkeo hana na wewe tafuta laini mpya ya kuwasiliana naye,au mtumie ndugu yako kumfikishia ujumbe house girl na umwambie uko tayari kumhudumia mtoto na kumfungulia biashara.

Mahakamani watahitaji house girl kwenda kutoa ushahidi,na wewe tayari utakuwa umeshaweka mambo sawa,ushahidi ukikosekana hamna kesi hapo
 
Mabinti wengi wanatoka familia zenye maisha sio mazuri sana akipata huo mshahara ndio anasaidia familia yake kwanini umuharibie maisha, huwa mnakuwa mnafikiria wangekuwa ndugu zenu. Tena hufai kuwa Mwalimu hata wanafunzi wako huenda unawala wewe
Shangaziiiiii nawee huwa unachukia km hivi??
 
Mwambie awaandike majina watoto kwenye hati ya NYUMBA coz mmejenga wote!

Hakikisha NYUMBA ina hati ya watoto tu !
Nyumba mmejenga wanandoa halafu majina yaandikwe ya watoto? Mali si ya watoto ni ya wanandoa, watoto watatafuta za kwao pindi wakiwa wakubwa
 
Back
Top Bottom