Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Mpangishie chumba huyo dada mbadilidhie namba ya simu na mkienda mahakamani unakataa macho makavu kuwa hujawahi kulala na huyo binti
Hoaxer huu ushauri ni 100% unampiga chini mahakamani bila kupepesa macho na uchukue kama ulivyo uufanyie kazi.

Ipo hivi
Ili aweze kuithibitishia mahakama kuwa wewe ndie umempa mimba binti ni lazima kuwe na ushahidi usiotia shaka. Ni kwamba wewe ukubali au mkeo atoe ushahidi huo.

Wewe pambana kupoteza ushahidi bila kutenda makosa na dhambi. Maana yangu bila kutenda makosa na dhambi ni hii, usitoe mimba wala kuua binti wa kazi. Rudi kwa ushauri wa huyo ndugu. Ongea na binti umpoteze kwa kumpangia nyumba mbali na kumhudumia na baada ya hapo utunze mtoto wako au kuoa kabisa awe mke wa pili. Badili mawasiliano yake na asijethubutu kufika mahakamani au mabaraza ya usuluhishi.

Siku ukienda mahakamani kuitika wito. Kataa mwanaume. Sema SIJUI na sijawahi hata kumtamani. Baada ya hapo mkeo atatakiwa alete ushahidi na shahidi namba moja ni huyo mkeo aliyekuwa house girl hapo zamani. Sasa kwa vile wewe umeshampangishia nyumba, ondoka, nenda kule ulipompngishia na kabla ya kumpa mrejesho wa kilichojiri mahakamani, endelezeni uumbaji baada ya hapo mpatie mrejesho. Sas kule amekunyima na hause girl umeshamla si bora uendelee tu.

Kwa maana hiyo sasa, ushahidi hautakuwepo na kesi itakuwa dismissed kwa kukosa ushahidi.
 
Intelegent says, kaa na huyo housegirl private mpange, amwambie wife nilimsingizie mmeo lakini siyo kweli mwenye mimba ni fulani (), mnunue kijana mpange akubali kusingiziwa ujauzito huo, mpangie chumba bint muhudumie kwa mgongo wa kijana uliyemnunua, wakati mnasuluhisha hilo usisahahu kumchapa bint vibao viwili kwa kukuvunjia heshima kwa jambo la uongo!
#Team_mabazazi infos/help desk!
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?

Unakulaje msaidizi wako mkuu? Umefeli
 
Hoaxer huu ushauri ni 100% unampiga chini mahakamani bila kupepesa macho na uchukue kama ulivyo uufanyie kazi.

Ipo hivi
Ili aweze kuithibitishia mahakama kuwa wewe ndie umempa mimba binti ni lazima kuwe na ushahidi usiotia shaka. Ni kwamba wewe ukubali au mkeo atoe ushahidi huo.

Wewe pambana kupoteza ushahidi bila kutenda makosa na dhambi. Maana yangu bila kutenda makosa na dhambi ni hii, usitoe mimba wala kuua binti wa kazi. Rudi kwa ushauri wa huyo ndugu. Ongea na binti umpoteze kwa kumpangia nyumba mbali na kumhudumia na baada ya hapo utunze mtoto wako au kuoa kabisa awe mke wa pili. Badili mawasiliano yake na asijethubutu kufika mahakamani au mabaraza ya usuluhishi.

Siku ukienda mahakamani kuitika wito. Kataa mwanaume. Sema SIJUI na sijawahi hata kumtamani. Baada ya hapo mkeo atatakiwa alete ushahidi na shahidi namba moja ni huyo mkeo aliyekuwa house girl hapo zamani. Sasa kwa vile wewe umeshampangishia nyumba, ondoka, nenda kule ulipompngishia na kabla ya kumpa mrejesho wa kilichojiri mahakamani, endelezeni uumbaji baada ya hapo mpatie mrejesho. Sas kule amekunyima na hause girl umeshamla si bora uendelee tu.

Kwa maana hiyo sasa, ushahidi hautakuwepo na kesi itakuwa dismissed kwa kukosa ushahidi.
Huu ndio ushauri pekee wa maana mkuu asipoufanyia kazi basi
 
Sasa hapa ndio umeongea. Ebu wape elimu hao wanawake wasiojua kuwa wake ndani ya nyumba zao[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Wakishaona mbele kidogo mibichwa inakuwa kama gari aina ya Pigeout. Nina ndugu yangu wakati watt wake wanasoma huyo mama alikuwa mpole ofcause yeye na mumewe ni washika dini walutherani. Bas wakawa wanaenda kwa mwakasege wanaomba watu wawaombee anaeleza jinsi anahofu amelipia wanae mamilioni Tusiime.

Basi wakwanza wa kike kawa daktari wa pili kasoma comupter Science. Wameajiriwa. Yaani ndio rangi yake tumeijua.
.

Huyo mama amekuwa mbinafsi. Mumewe alimwahidi mtu nikiwepo kwamba atamsaidia apate kibarua. Ohoo mama kamwambia aachane nae.

Nikasema wanawake ni digrii ya 7. Baada ya prof. Mwanaume ikabidi atulie. Ila kwa vile sie wengine tunasafiri na muda tunamzoom tu.
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Deep down huyo mkeo alikuwa hakupendi, kweli kabisa usinibishie niamini mimi. Hivyo alikuwa anakutafutia angle thita na umejaa mwenyewe. Ni mda sasa wa yy kukufukuzia mbali yeye abaki anafaidi mali mlizochuma. Pamoja na kwamba wewe unamakosa ila mkeo ni katibu wa shetani. Ndio wale mnaowaita hapa kila siku sijui mafeminist. Na nikuhakikishe tu kwamba hata ukilisolve hili kuwa tayari kwa lingine. Unalifahamu lakini? Ha ha ha ni kifo ndugu. Amini huyo mkeo ukimshinda hiyo kesi atakuua. Na hatakuua leo wala kesho. Atakuvutia muda wa miaka mingi mbele ili ndugu zo wasahau.

Shukuru kwa hili lililokupata kwani umeutambua moyo wa huyo unaemwita mkeo kuwa ni li anakonda la hatari.

Mwanamke mwenye mapenzi na familia yake hili jambo halikuwa la kupeleka mahakamani ni jambio la kulisettle kifamilia tena lingeweza kumalizwa na wewe na mkeo tu bila hata wazazi kulijua ama watu wa nje.

Huyo shida yake ni mali mkuu hilo la mimba ya hausi gero umemrahishia tu kazi ya kukupokonya mali kirahisi.

Ndoa zote ni ngumu, ila ndoa za nyie mliooa wafanyakazi wenzenu ni ngumu zaidi. yani nyie hamjaoa ila mmeoana. Ona sasa unaenda kuanza maisha upya. Ee usikatae unaenda kuanza upya broo. Ingekuwa umeoa mama wa myumbani ambae anakutegemea kwa kila kitu amgejifungia chumbani akaliaaa weee. Na mwisho angemfukuza hausi gero na maisha yakaendelea kwa mapenzi shata shata
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?

Chomoka kwa kuondoka na house girl kupitia gate, halafu nenda kituoni mkapande daladala, ukakope mkopo wa walimu, ukapange gheto ulee mimba umbwa wewe
 
Hakuna sheria hiyo ya kumuachia mke nyumba kwa kutembea au kumpa mimba house girl

Na hautakiwi hata kutumia nguvu sana nyumba itabakia kuwa yenu kama mmeijenga wote pengine mgawane vyumba au muuze mgawane pasu pasu

Wewe inabidi umsikilize mkeo kama hataki tena muendelee ingieni makubaliano mgawane mjengo alaf sepa na house girl maisha yaendelee

Ila kama nyumba kajenga mkeo kimbia hapo mbio nyingi sana
 
Mm nashindwa kuwaelewa wanaume wenzangu,ukishajijua wewe huwezi kujizuia acha ujinga wa kuweka msichana wa kazi ndani, weka shemej yako unayemuheshim na pia kama huwezi pia weka mtoto wa kiume.
 
Kazi yetu ni kuangalia Makosa.
Makosa yako ni kama ifuatavyo;

1. Kum-cheat Mkeo.
Tena ndani ya nyumba yako Kwa MTU anayemfahamu.
Ni dharau kubwa kulala na ku-cheat Mkeo/Mumeo na MTU mnayekaa mtaa mmoja, alafu Mbaya zaidi ndani ya nyumba.

2. Hukutumia kinga iwe ya magonjwa au ya mimba. Hii ilimaanisha wewe ni MTU mjinga usiyejali matokeo yatakayoathiri Maisha yako na familia yako.
Kama huwezi Kutumia kondomu, ulishindwa kumpa huyo Beki tatu P2 ameze? Hukujali magonjwa kama Ukimwi, kisonono na kaswende basi ungejali mimba.
Wenzako akimaliza kugonga wanawamezesha P2

3. Kusubiri mpaka Mkeo Ajue huyo beki 3 anamimba.
Ulipaswa hiyo ishu uishughulikie mapema Kabla haijabumbuluka.
Mpaka MTU ajijue anamimba inachukua takribani siku 14 Baada ya tukio.
Wewe kama Mwanaume uliyekomaa Baada y Kupata hiyo taarifa ulipaswa ufanye maamuzi ya haraka kudili na Jambo Hilo.

4. Inaonekana ulimgeuza huo Beki 3 MKE Mdogo.
Wenzako wanapiga hiyo mizigo wakiwa na genye tuu au wakiwa chakari Kwa pombe, tana Kwa bahati Mbaya.
Wewe ulikuwa unaendeshwa na hisia, na sio ajabu ulikuwa unatoroka kazini Kwa ajili ya ishu hiyo.

5. Kuruhusu Mkeo kwenda Mahakamani ni dalili kuwa huna Sanaa za Lugha, sio mtunzi wa matukio na Drama.
Tangu Umepata hiyo taarifa ulipaswa uanze kuleta maigizo ya hapa na pale kujihami Huko mbeleni siku Mkeo akijua.
Unashindwa Kutumia hata hadithi za kulogwa?

Jaribu kumuomba Mkeo Msamaha Kwa sababu ni kweli umekosea pakubwa.
Alafu hauna. aadabu
 
Back
Top Bottom