Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Usilazimishe broo, kama huyo house girl umeridhika nae we oa mwache mkeo na watoto. Ukilazimisha kukaa na mkeo utakuwa mtumwa hadi uzeeni. Nyumba sio ishu, nna experience na hiyo hali mzee.
 
Ulipoanza kumkojolea hukutuita so pambana na hali yako.
Mwanaume mchafu kama wewe usiyechagua shimo Hustahili hata kuishi.
Sipendi mwanaume ndanganyaji
 
Kwanini unamtakia mwenzio kesi za mauaji.? Ni bora uepushe majanga. Toka hapo.

Kweli kwa hii scenario nimeamini si wote tunaosikia wameua wamezaliwa kuua au walipania. Unakuta wengine wamevutwa kwenye hilo jinamizi. Ndio wewe unachofanya.
Yani atoke kwenye nyumba yake,kiss kumpa mimba house girl akili za wapi hizo.
Huyo Mke ndio Stoke,kwani kumpa MTU mimba ni kosa?
 
Nawashangaa wanaomtetea. Msaidizi wa ndani anapaswa kuheshimiwa aisee mi mtu akimdharau huwa namshangaa sana.

Hawa wanao ona ni kitu rahisi rahisi hawajui tu vile wakiondoka sisi tunapata shida kiasi gani sababu hata kwenye mihangaiko mtu inashindikana kwenda sababu huna msaidizi.

Kiukweli huyo Mwalimu kayumba aisee.
Kwani ukimpatia binti mimba ndio unakuwa hujamheshimu?
 
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Sawa nenda kastawishie huo ujauzito kwingine siyo kwenye makazi ya familia
 
Ana hasira. Mpe nafasi, In time hasira zitaisha atafanya maamuzi akiwa katulia, ukilazimisha mnaweza kuuana hapo ndani. Vaa viatu vyake, assume ana mimba ya houseboy.
 
Wachafu sana
Ndio hadi hausgeli Jamani? Kwa huu wivu wangu hausgirl ningemlamba makofi kwanza
Wanaume hatukataagi mbususu
Kwani mbususu ya house gal ina tofauti gani na ya mke? Kwani hana haki ya mbusus yake kuchakatwa? Yeye mwenyewe ana nyege kama mama mwenye nyumba.
 
Bora useme wewe akisema mzabzab wanasema nongwa
Yaan tangu kuzaliwa kuishi kusoma na kutembea kwangu sijaona jambo lenye ufisho mbaya kama ubinafsi.

Na inawezekana kulikuwa na ubinafsi wa kupitiliza ndio mana yakatokea hayo. Katika mamvo M/Mungu hawezi kukaa kimya hata dakika moja ni ubinafsi. Atakufedhehesha hata ungekuwa Rais wa nchi. Much less mwalimu.

Mimi ningekuwa huyo mke ningeshirikiana na mwenzang kumpangishia huyo dada nyumba na kumuhudumia mpaka ajifungue na kisha mtt akishakua atukabidhi. Tuagane kwa Amani.

Wanawake angalieni mlipoanguka. Mkatubu. Kuna vingine siwez kuandika hapa ila no man anaweza kuchepuka hata ukimruhusu kama ww ni striker mzuri.
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?

Umevuna ulichopanda.
 
Una watoto watatu una mke mnasaidiana maisha halafu unafanya ujinga kama huu. Prof.Mkenda fuatilia huyu mwalimu muhamishe Kiluvya mpeleke mbali kbs. Hauna maadili na hauna heshima.
 
Back
Top Bottom