Only for genius, huu ndo ushauri murua wa kibabeMpangishie chumba huyo dada mbadilidhie namba ya simu na mkienda mahakamani unakataa macho makavu kuwa hujawahi kulala na huyo binti
Azinie na mwanamke Hana akili kabisa, afanya Jambo litalomwangamiza nafsi yake', atapata jeraha na kuvunjiwa heshima Wala fedheha take haitafutika! TUBIA UOVU WAKO USAMEHEWE. Mwombe mkeo msamaha kwanza Mana umekosea Sana assume yeye angebeba mimba isiyo yako ungejisikiaje?Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu na narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar,
Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?
Basi tumetofautiana aisee na ndio maana magonjwa yatawasumbua mno mtu anaejali familia akitingwa kutumia ndomu kawaida mno ila kizazi hiki hakina Elimu yeyote kuhusu hizi mambo ndio maana mtashinda humu kuomba ushauri baada ya kuharibu...Sasa wee ulionaga wapi watu wakichepuka wanatumia ndom? Ndom labda anachepuka kwa malaya. Mnajidanganya sana nyie watu
Wewe usiangalie sample yako tuu. Ukweli ni kwamba watu wanachepuka kabu kavu tuu wanaochepuka nankutumia ndom ni wale wanaoenda kugegeda malaya.Basi tumetofautiana aisee na ndio maana magonjwa yatawasumbua mno mtu anaejali familia akitingwa kutumia ndomu kawaida mno ila kizazi hiki hakina Elimu yeyote kuhusu hizi mambo ndio maana mtashinda humu kuomba ushauri baada ya kuharibu...
Mnasingizia tuu de libolo bure. Sasa kula mbususu nayo ni matatizo au burudani?Kumekucha Kumekucha nasema kumekuchaaa..!!![emoji3][emoji3][emoji3]
Kichwa kidogo chanzo cha matatizo mengi kwa wanaume Ahhhh!!!!
Walimu wa kiume wamekiwa ovyo sana miaka hii alafu ni hawana ela ya kutafuta wadada huko mtaani wanafata k za bure Kwa mahaousegirl na vibint na wake za watu Tena Hawa wa vijijini ndo mafala kabisa Ndo maana mnalogwa sanaSasa katoto ka miaka 11 kanaliwa na mwalimu sii uzembe wa mzazi.
😂😂😂Mwanadamu anayeendeshwa na matamanio yake ni sawa mnyama wa porini na huyo ni mpungufu wa akili........
Angekuwa na mpango wa kumuhudumia asingekuja kufuata ushauri humu.Kayaharinu vipi tena? Kama ana mpango wakumuhudhmia unajuaje
OK OK nimekulewa vizuri upo sahihi hapo ndio tatizo linapoanzia...Wewe usiangalie sample yako tuu. Ukweli ni kwamba watu wanachepuka kabu kavu tuu wanaochepuka nankutumia ndom ni wale wanaoenda kugegeda malaya.
Ah ujanja kuwahiana yeye ndio mjanja kamuwagi wife maan wanawake hawa wanakulia tyming tuu wanakubambikia mtoto. Tena wao ndio the worst kind of evilAzinie na mwanamke Hana akili kabisa,afanya Jambo litalomwangamiza nafsi yake',atapata jeraha na kuvunjiwa heshima Wala fedheha take haitafutika! TUBIA UOVU WAKO USAMEHEWE. Mwombe mkeo msamaha kwanza Mana umekosea Sana assume yeye angebeba mimba isiyo yako ungejisikiaje?
Dhambi yake itakaaa juu yake!Ah ujanja kuwahiana yeye ndio mjanja kamuwagi wife maan wanawake hawa wanakulia tyming tuu wanakubambikia mtoto. Tena wao ndio the worst kind of evil
Daah nimecheka sana JF kiboko wakinipiga ban nawapeleka mahakamani...Kataa mimba sio yako, kataa katakata, yani kataaa kweli kweli
Wewe sasa kama mbususu mmefanya mtaji wacha tukajipoze kwenye bei rahisi. Thats just simple economics. Wee mwenyewe umesema hawana hela sasa wafanyaje🤣🤣🤣🤣 sio kila mwanaume anaweza endelea piga nyeto ya mlenda vuguvugu mika nenda rudi.Walimu wa kiume wamekiwa ovyo sana miaka hii alafu ni hawana ela ya kutafuta wadada huko mtaani wanafata k za bure Kwa mahaousegirl na vibint na wake za watu Tena Hawa wa vijijini ndo mafala kabisa Ndo maana mnalogwa sana
Ah yeye hapo anachowaza na kutaka ushauri ni juu ya mke kutaka jamaa aondoke aache nyumbaAngekuwa na mpango wa kumuhudumia asingekuja kufuata ushauri humu.
Mpaka kaleta huu uzi jua kwamba hana alicho nacho akilini juu ya huyo mdada.
Dhambi gani kubwa hapo wewe ebu wacheni kukuza mambo. Kwani yeye kidume wa kwanza kuzaliaha hausigelo🤣🤣🤣🤣Dhambi yake itakaaa juu yake!
Nakazia...Mabint wengi wanatoka familia zenye maisha sio mazuri sana akipata huo mshahara ndo anasaidia familiayake kwann umuharibie maisha huwa mnakuwa mnafikiria wangekuwa ndugu zenu
Tena hufai kuwa Mwalimu hata wanafunzi wako huenda unawala wew
Ooh! Haya mshauri wewe sasa huyo mwanaume mwenzio afanyeje?Ah yeye hapo anachowaza na kutaka ushauri ni juu ya mke kutaka jamaa aondoke aache nyumba