Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Acha uongo wewe, sharia ya wapi hiyoNyumba ya familia ni nyumba ya mke. Kaa ukijua hilo.
Yani atoke kwenye nyumba yake,kiss kumpa mimba house girl akili za wapi hizo.Kwanini unamtakia mwenzio kesi za mauaji.? Ni bora uepushe majanga. Toka hapo.
Kweli kwa hii scenario nimeamini si wote tunaosikia wameua wamezaliwa kuua au walipania. Unakuta wengine wamevutwa kwenye hilo jinamizi. Ndio wewe unachofanya.
Ndo tulivyo hatukati kiu na maji ya kisima kimojaUlipoanza kumkojolea hukutuita so pambana na hali yako.
Mwanaume mchafu kama wewe usiyechagua shimo Hustahili hata kuishi.
Sipendi mwanaume ndanganyaji
Kwani ukimpatia binti mimba ndio unakuwa hujamheshimu?Nawashangaa wanaomtetea. Msaidizi wa ndani anapaswa kuheshimiwa aisee mi mtu akimdharau huwa namshangaa sana.
Hawa wanao ona ni kitu rahisi rahisi hawajui tu vile wakiondoka sisi tunapata shida kiasi gani sababu hata kwenye mihangaiko mtu inashindikana kwenda sababu huna msaidizi.
Kiukweli huyo Mwalimu kayumba aisee.
Sawa nenda kastawishie huo ujauzito kwingine siyo kwenye makazi ya familiaSasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Wachafu sanaNdo tulivyo hatukati kiu na maji ya kisima kimoja
Wanaume hatukataagi mbususuWachafu sana
Ndio hadi hausgeli Jamani? Kwa huu wivu wangu hausgirl ningemlamba makofi kwanza
Yaan tangu kuzaliwa kuishi kusoma na kutembea kwangu sijaona jambo lenye ufisho mbaya kama ubinafsi.Bora useme wewe akisema mzabzab wanasema nongwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkuu you just made my day🤣Chomoka na house girl kwenye pikipiki...
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?