Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu na narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar,
Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Akili huna wewe
 
Wanawake wengi hawajui Majukumu Yao wanashinda tiktok ,Instagram na kufatilia umbea so lazima Mtu uzagamuaji wa dada wa kazi lazima uendelee

Ushauri Mwambie huyo mke wako aende mahakamani afanye anachotaka hawezi kukushinda kwanza Hana ushahidi wowote ,Jambo la muhimu mtaftie chumba ambacho kina choo na bafu umpangie huyo House girl. Umnunulie na vitu vya ndani Godoro nchi 12 na Kitanda Cha mmninga na Tv nchi 40 na friji bila kusahahu Mtungi mkubwa wa gas pia Mimba ikikisha kuwa kubwa mtaftie house girl pia unaweza muuliza mzabzab mzagamuaji namba moja wa JF akatoa Mwongozo
 
Baba mwenye nyumba kumla house girl ni vitu vya kawaida sana tangu zamani kwenye Biblia akina Abrahamu na Yakobo wamewala sana vijakazi (house girls) wao

Naungana na mzabzab mbususu ya kijakazi lazima iliwe mimba itunzwe mtoto azaliwe maisha yaendelee.
Aisee umeongea point Mtumishi wa Mungu watu wanapanic na kutoa lawama Ambazo haziwezi kubadilisha matokeo
 
Unampeleka wife wako Shuleni halafu badala na wewe kwenda Shuleni kufundisha,unarudi home kufanya uzinzi,Watoto wanasubiri Mwalimu Darasani,kumbe wewe umeenda kula beki 3

Wife wako akomae hivyo hivyo,huna pakuchomokea,nyinyi ndio mnaua elimu kwa vijana wetu.
Mwalimu hatari sana huyu.!
Yaani kila siku mwanangu anarudi kutoka shule anasema hawajafundishwa hisababti mwalimu hakuwepo kumbe jamaa anaenda home kujishindia mbususu pori ya house girl!
 
Hili ndio suluhisho hapa
Wangapi wanayafanya hayo ya kulea hao watoto na kuwapangishia nyumba zaidi ya kuwafurusha na kuwaambia uzembe ni wao?

Kiukweli hapo huyo mdada ajiandae tu kurudi kijijini akalee mtoto peke yake.
 
Wangapi wanayafanya hayo ya kulea hao watoto na kuwapangishia nyumba zaidi ya kuwafurusha na kuwaambia uzembe ni wao?

Kiukweli hapo huyo mdada ajiandae tu kurudi kijijini akalee mtoto peke yake.
Halafu mtoto akikua na kuja kutoka kimaisha pia kuja kua maarufu,unakuta eti Baba yake ndio ana anza kujipendekeza.
 
Wangapi wanayafanya hayo ya kulea hao watoto na kuwapangishia nyumba zaidi ya kuwafurusha na kuwaambia uzembe ni wao?

Kiukweli hapo huyo mdada ajiandae tu kurudi kijijini akalee mtoto peke yake.
Ah sasa mwamba akifanya hivyo itakuwa amekosea na sitaungana nae.
Hapo yeye anapaswa amuhudumie huyu housigelo vizuri tuu na aendelee kumpa mchezo mtamu maana ndio alishakuwa nke ya pili🤣🤣🤣🤣
 
Oa kwanza buraza na uwe na watoto ndo utaona hizi mambo huwa ni rahisi kuandika tu.

Na ndio sababu Me wanaojali na kujitambua huezi kuta hata ana ka ukaribu na mdada nje ya kile kilichomleta.
Na me wanaojitambua wajengewe sanamu lao peponi. Huyo mwalimu ni mshenzi tu, na sio talaka tu Hadi kazi afukuzwe, si ajabu anakula Hadi wanafunzi wake. Watoto wanamsubiri shuleni yeye anarudi nyumbani kumnyatia house girl ilhali ana mke ndani. Amemuharibia dada wa kazi life yake, kwanini baadhi ya me wanasindwa kuwaheshimu Hawa wadada wanaosaodia kazi nyumbani?
 
Hadi kufikia hatua ya kuja kutaka ushauri huku ni dhahiri hiyo mbus*s* ya huyo mdada wa kazi haina raha tena.
Kha! Mwananchi una maneno sikujua kuwa wee ni mchapa marimba hivi au kisa mmeingia robo basi full shangwe 🤣🤣🤣🤣

Mbususu ya huyo mdanda mbona ipo fresh semajamaa mawazo ya mkewe kutaka yeye ahame kwa nyumba ndio anachowaza kwa sasa ila sula la mbususu atakuwa anakula tuu wee unadhani miezi mitatu wanaume sie tunaweza kaa bila kula mbususu...dhubutu!
 
Back
Top Bottom