Hey,
Updates ni kwamba huyu mwanamke saiv tumepatana tena na haninunii na ujauzito tayari una miezi miwili,kaamua kuzaa,
halafu kuhusu mumewe itajulikana mtoto akizaliwa..uzuri jamaa alihama home,mwanamke kasema akiulizwa na yeye atawauliza kwani yeye ni mke wa nani?
aliyemuoa ndio aliyempa ujauzito,maana jamaa alisepa home bila any official release,so ngoja niendelee kuona itakuwaje...
Kwa Waislam ni dhambi kubwa sana kumdanganya mtoto baba yake .
Kuzaa nje ya ndoa ni dhambi mbaya sana hasa Kwa Wanawake maana hata iweje hawezi kuitubu na kusema ukweli kuwa huyu mtoto ni WA Fulani. Ataishi Kwa uongo maisha yake yote.
Hali hii inawafanya Wanawake wanakua hasa wale wanaojiita wakristo lakini wa uongo kuishi maisha ya vilio na kudanganywa na manabii wa uongo madhebahuni huku nafsi zao zikiwahukumu kuwa umeidanganya jamii yule mtoto baba yake sio huyo.
Ndio maana zamani za mababu zetu hukumu ya kuzaa nje ya ndoa ilikua ni kifo .
Na hata Sasa ukizaa na mke wa mtu ambaye mume wake ni muumini wa kweli ,mwaminifu Kwenye ndoa yake Hakika adhabu yako inakua ni kifo.
Tatizo ni kuwa wanaume wengi nao ni wachepukaji hivyo inakua ni jino Kwa jino. Lakini usije ukajaribu kwenye ndoa ya mtu mcha Mungu ambaye sio mchepukaji. Utakojoa mchanga muda wote. Uchawi na Dua mbaya zililetwa Duniani Kwa watu wa aina hii.
Kule Tanga kuna wataalam wa kutengeneza kitu kinaitwa Tego. Ukitanua TU miguu ya mkewe unakauka kama gogo. Na Hilo Tego wanapokua wanakuambia ujaribu hata Kwa mnyama kama Mbwa aruke unamuona anavyodambaratika.
Kwa hiyo achana na wake za watu kabisa. Unabahati unaingia Kwa watu wa hovyohovyo. Ungekua umeshasahaulika kitambo. Ukaacha mtoto asiye na baba.
Hata huyo Mwanamke huenda alikua ni kero Kwa mumewe Kwa sababu yako. Mpaka mumewe akaamua kuwa mlevi.
Wengine hatungekimbilia kwenye ulevi kabla ya kukuimbia wimbo wa parapanda.
Kule Pemba wanakuonya usiposikia Kuna Dua zinawekwa panapostahili halafu wewe na huyo Mwanamke mnaanza kumgombania huyo mwanaume.
Yaani mnagombana haswaa,wewe unataka mwanaume huyo akuingilie nyuma na Mwanamke anakuambia unamwache mume wake mana wewe ni shoga.
Dunia ni nzuri Kwa watu wazuri na mbaya Kwa wabaya.
Wanaume tunaweza kuoa hata wake wengi na kufunga nao ndoa halali kabisa kama manabii walivyofanya zamani. Hivyo kuingia kwenye ndoa ya mtu mwenye kamke kake kamoja ni jambo la kutangaza kifo TU Wala hakuna namna nyingine.
Akishaokewa na mtu Mwingine achana naye hata kama anakudanganya kuwa alikua anakupenda wewe. Ni uongo huyo ni uzao mbaya wa kishetani. Tamaa ndiyo inayomwendesha. Amekimbilia pesa akazikosa. Anakuja kwako eti utamridhisha kimapenzi. Sio kweli. Mapenzi yanapaliliwa Kuna siku atapata Mwingine na ataona alichelewa atakimbilia Huko mtaakua watatu Sasa. Hatuwezi kuishi hivyo kama viumbe wasio na akili.