Sikujua kama ni mke wa mtu
Ya kweli haya...? Au Ku IPA msongo tu
Maelezo yaliyopo ni kuwa mume alikuwa amesafiri amerudi ndio kimbembe kimetibuka, kapewa mbinyo hadi amesema ukweli...jamaa katishia kunipeleka mahakamani
Hauna mashtaka ila una adhabu ya kuliwa kisamvu kikavu tu!
Habari zenu wanajukwaa.
Sakata hili limenitokea karibuni kibaya zaidi mumewe akajua mimba ni yangu...Sasa jamaa ananitafuta na kutaka kunishtaki, je nina mashtaka ya kujibu
What...? Unasema...? Nishauri kama anaweza kunifungulia mashtaka
Mwanamke ndio mwenye makosa
Ivi ulifikiria matokeo yake huo mchezo au ulijiona kidumeeeeee kua mume wake lakukufanya Hana ndio una chukua advantage? Kama angekua mkeo kapewa mimba na mwanamme mwengine ungechukua hatua gani? Ukisha pata jibu ndio lako....
Habari zenu wanajukwaa.
Sakata hili limenitokea karibuni kibaya zaidi mumewe akajua mimba ni yangu...Sasa jamaa ananitafuta na kutaka kunishtaki, je nina mashtaka ya kujibu