Nimempa ujauzito mke wa mtu

Nimempa ujauzito mke wa mtu

Umejuaje sasa baada ya kumpiga mimba??

Maelezo yaliyopo ni kuwa mume alikuwa amesafiri amerudi ndio kimbembe kimetibuka, kapewa mbinyo hadi amesema ukweli...jamaa katishia kunipeleka mahakamani
 
Nani mwenye makosa Kati yako na mwanamke??
 
Habari zenu wanajukwaa.
Sakata hili limenitokea karibuni kibaya zaidi mumewe akajua mimba ni yangu...Sasa jamaa ananitafuta na kutaka kunishtaki, je nina mashtaka ya kujibu

Stupidity
 
Akikugusa speaker useme pia maana hamchelewi kujiua kama yule mwenzako..
 
Ivi ulifikiria matokeo yake huo mchezo au ulijiona kidumeeeeee kua mume wake lakukufanya Hana ndio una chukua advantage? Kama angekua mkeo kapewa mimba na mwanamme mwengine ungechukua hatua gani? Ukisha pata jibu ndio lako....
 
Nikichukuliwa mke wangu nitafanya tu kumuacha, ila Huyu anatishia kunipeleka mahakamani
 
Mjini kuna watu wana kazi na wengine wanaongezea foleni tu. Hii ndio kitu gani?
 
Habari zenu wanajukwaa.
Sakata hili limenitokea karibuni kibaya zaidi mumewe akajua mimba ni yangu...Sasa jamaa ananitafuta na kutaka kunishtaki, je nina mashtaka ya kujibu

nikuulize ww hicho kitendo unakionaje huoni umemkosea mwenye enzi mungu na mwenye mke unategemea ni laana kiasi gani utakayoipata
 
Back
Top Bottom