Hahahhahahahha mkuu hiyo kitu impocble
Kama ni mke wa ndoa inayotambulika kisheria,unacho cha kujibu endapo utashitakiwa,maana serikali hutoa hati kwa wawili hao,isipo kuwa tu Kama waliachana.Vile vile watu huwa na maamuzi yao binafsi ila sio rahisi wewe kujua ya moyoni mwa mtu.Kumbuka mbwa hata akiwa kirema usimdharau.
Wewe sema imposible coz sio lazima yeye mwenyewe ale 0713 yako. Anakuletea njemba hata 4 zote anazipa hela halafu zote zinakugonga. Wewe sema tu hana uwezo lakini lazima ukomeshwe hata kwa style nyingine ndo ujifunze.
Naombea hiyo isitokee, coz hata sikuwa na nia ya kula mke wa MTU...
Adhabu ya kosa hili ni ipi kama nitashtakiwa mahakamani
Adhabu yake ikoje ambavyo nitakutwa na hatia
Kama ni mke wa ndoa inayotambulika kisheria,unacho cha kujibu endapo utashitakiwa,maana serikali hutoa hati kwa wawili hao,isipo kuwa tu Kama waliachana.Vile vile watu huwa na maamuzi yao binafsi ila sio rahisi wewe kujua ya moyoni mwa mtu.Kumbuka mbwa hata akiwa kirema usimdharau.
Sio najivunia naangalia usalama wangu ikiwa nitashtakiwa
Mwanamke ndio alinitongoza tena bila kuniambia kama ameolewa