Nimempa ujauzito mke wa mtu

Nimempa ujauzito mke wa mtu

Hahahhahahahha mkuu hiyo kitu impocble

Wewe sema imposible coz sio lazima yeye mwenyewe ale 0713 yako. Anakuletea njemba hata 4 zote anazipa hela halafu zote zinakugonga. Wewe sema tu hana uwezo lakini lazima ukomeshwe hata kwa style nyingine ndo ujifunze.
 
Kama ni mke wa ndoa inayotambulika kisheria,unacho cha kujibu endapo utashitakiwa,maana serikali hutoa hati kwa wawili hao,isipo kuwa tu Kama waliachana.Vile vile watu huwa na maamuzi yao binafsi ila sio rahisi wewe kujua ya moyoni mwa mtu.Kumbuka mbwa hata akiwa kirema usimdharau.

Wameishi pamoja kwa muda hivi, ila sasa mwanamke hamtaki kabisa jamaa na mke amerudi kwao
 
Wewe sema imposible coz sio lazima yeye mwenyewe ale 0713 yako. Anakuletea njemba hata 4 zote anazipa hela halafu zote zinakugonga. Wewe sema tu hana uwezo lakini lazima ukomeshwe hata kwa style nyingine ndo ujifunze.

Naombea hiyo isitokee, coz hata sikuwa na nia ya kula mke wa MTU...
 
Hilo ndio neno lakini usiseme eti hana uwezo. Mke anauma sana hata kama hawaelewani mume akijua anajua wewe ndio sababu kwanini hawaelewani.
 
Tembea na K-Y jelly, utapumuliwa kisogoni.
 
Hilo ndio neno lakini usiseme eti hana uwezo. Mke anauma sana hata kama hawaelewani mume akijua anajua wewe ndio sababu kwanini hawaelewani.

Adhabu ya kosa hili ni ipi kama nitashtakiwa mahakamani
 
Naona wewe unaishi miaka ya 47, suala la mimba sio jambo la kujivunia unaongeza watoto wa mitaani.
 
Kama ni mke wa ndoa inayotambulika kisheria,unacho cha kujibu endapo utashitakiwa,maana serikali hutoa hati kwa wawili hao,isipo kuwa tu Kama waliachana.Vile vile watu huwa na maamuzi yao binafsi ila sio rahisi wewe kujua ya moyoni mwa mtu.Kumbuka mbwa hata akiwa kirema usimdharau.

Na adhabu yake inaweza kuwa nn ikiwa mahakama itanikuta na hatia
 
Kuna jamaa mmoja amekujib kajitamhulisha kama hakimu. Sasa sijui unataka jibu lip.

Nataka kujua kama ni adhabu ipi itanikuta ikiwa mahakama itanikuta na hatia
 
we ndo ndo utaenda kushtak akishatuma watu wakukule TiGO yako.....
 
Naona wewe unaishi miaka ya 47, suala la mimba sio jambo la kujivunia unaongeza watoto wa mitaani.

Sio najivunia naangalia usalama wangu ikiwa nitashtakiwa
 
Angalia usalama wa afya yako, kapime ukimwi kwanza coz hukutumia condom
 
Mwanamke ndio alinitongoza tena bila kuniambia kama ameolewa

Huna kosa kisheria kama mwanamke haku declare kua yeye ni mke wa mtu na ww hukujua kama ni mke wa mtu lakin you need to prove beyond reasonable doubt. Pia itategemea jamaa ata formulate vipi kesi yake.
 
Back
Top Bottom